CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Ningependa kujuzwa alipo huyu bwana mkubwa aliyekuwa mwiba wa CCM akiwa CHADEMA na hatimaye kuhamia CCM.
Mnh...... Ila hata mie ningependa kujua yupo wapi na afanya nini kwa sasa??Muulize Zitto, Mantor wake!!!
Muulize Zitto, Mantor wake!!!
Ni mbunge wa bunge la Africa Mashariki kupitia CCM ambao alipewa kama asante kwa kuwasaidia CCM kushinda jimbo la Kigoma mjini alilokuwa akiliongoza yeye. Pia anaendesha chuo chake kikuu kiitwacho "Western Tanganyika Collage" kilichopo Kigoma mjini ambapo kwa sasa kinatoa kozi za computer.
Nasikia amekuwa Imam
Wakuu,
Huyu jamaa alitingisha sana enzi zile Kigoma akiwa mbunge kwa tiketi ya chadema. Niseme tu kuwa huyu alikuwa mmoja wa watu walioufanya mkoa wa Kigoma kuwa ngome ya upinzani hasa chadema kwa wakati huo.
Ili kudhibiti upinzani, baadaye alirubuniwa na magamba na kujiunga nao. Alipewa ubunge wa Afrika mashariki.
Tangu wakati huo sijamsikia tena miaka takribani kumi.
Amepotelea wapi Dr. Warid Kabouru?
Au pengine amepewa ukurugenzi kwenye taasisi ama mwenyekiti wa bodi fulani hivi.Yupo anajilia pensheni kama msataafu katika kitengo cha kuvuruga upinzani nchini. Ila bado amekuwa msaada sana kwa watu kama Shibuda wanaweza kumcheki kubadirishana uzoefu kisiasa.