Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

CCM jiandaeni kuwa chama cha upinzani.tulipowaambia mrekebishe magereza mlipuuzia sasa zamu yenu
 

Makene nyie ndo wazushi,mbona huyo slaa yuko kimya regardless ya hali hii ya sintofahamu kwa muda sasa? angalieni msifiche maradhi mauti itajawaumbua!!!
 

Mbona unamsemea Dr Slaa huku yeye ni member wa JF kwanini asikanushe mwenyewe au amepigwa marufuku kutumia mitandao baada ya lowasa kuvamia CDM
 
Ahsante Mkuu kwa taarifa. Hii wiki ni ya presha. Hebu Mzee atoke hadhalani atutoe hofu. Maana naye Yeriko Nyerere kaleta bandiko la kutuchanganya zaidi.
 
Moyo umetuliaaaaaaaaaaaaaaa LOWASSA Ikulu.....mods mpigeni ban huyu kichwa maji...
 
Asante baba!! kwani hapa hata kula chakula cha usiku nilikuwa nimeshindwa hadi shemeji yenu anaanza kufoka wee vipi mbona umebadirika ghafla hivyo!! au unazuga umetoka kwa mchepuko!!?. Sasa ngoja nitoe dose sasa,
 
Mtakumbuka nilileta uzi hapa ikimhusu dk. Slaa kuondoka chadema. Nikatukanwa sana. Mekene akadiriki kuniitwa mtu anayeitwa manyerere... kana kwamba hanijui. Sasa wote mlionishambulia kwa matusi na kejeli naomba muwe waungwana. Mniombe radhi. Siku nyingine nikileta taarifa nyeti za aina hiyo muwe na heshima na mchangie kwa staha.
 

Mm binafsi sikuombi radhi!
Uliandika kimbeya mno, utadhani ulikuwa una wania tuzo!
Ulisema siku ile, almost a month now na ukasema Kakabidhi ufunguo wa gari na walinzi! Hadi Juzi tarehe 31 August, 2015, Dr. Slaa kalamba Mshahara wa July na August, na alikuwa bado na gari la Chama la Katibu mkuu na Ulinzi wa Chama! Kati yetu na ww nani Muongo hapa?

Musiwe Waandishi wa Kij.inga kijing.a eti flani katapa matatizo sasa ww huweki Ma.kalio chini ni kusherekea matatizo ya Mwenzio! Unafiki hautakiwi!

Haya ulipewa tuzo kwa kuwa mtu wa kwanza kupost hizo rumours?
 


Hongera sana.

Labda sasa unaweza kufanyia kazi baadhi ya facts hapo juu (gari,nyumba,cheo-mshahara) maana tumemsikia Mwanasheria wa CDM akisema Dr Slaa amepokea mshahara (wa August?) wakati aliachia cheo 30 July 2015, bado anaishi kwenye nyumba ya chama, bado anatumia nyumba ya chama. Ni muhimu sana kupata ushahidi wa mambo haya ili ukweli ujitenge vizuri.

Manaweza kutafiti pia, kiutaratibu katibu (wa CDM) anapoamua kujiuzulu anamwandikia barua au kumjulisha nani? Na hivyo vitu (magari nk) vinapaswa kukabidhiwa kwa nani?
 
Duh hongera kwa kujitahidi kuandika vzr, anyway mm ni 1 wao tuliokudharau sana na kukuona mzushi! Yameshapita hayo, ulikua sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…