Tatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe