Ukisoma vizuri mtiririko wa Aya utagundua kua 70:4 inazungumziwa SIKU YA KIAMA hiyo SIKU itakua na urefu huo na 22:47 ni SIKU katika maisha ya AKHERA. So hizo ni SIKU za aina mbili tofauti.
Hakuna sehemu imesemwa ardhi imeumbwa kwa SIKU 8,ni 6 tu. Siku 2 ardhi + 4 milima 41:9-10
41:12 mbingu si ardhi.
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
Elimu ya Shule ni kwa ajili ya maarifa na mawasiliano na BINADAMU wenzako lakini kwa MUNGU ALIYEKUUMBA akakupa Lugha yako ya Asili halafu akuambie uwasiliane nae kwa Lugha ya Kiarabu huoni tatizo hapo?!

Huna hoja , ndio maana biblia ilioandikwa Mbeya ni tofauti na ilioandikwa UK na tofauti ilioandikwa Spain. Hapo biblia ilipoanza kuchakachuliwa. Maana kila mmoja kaandika anavyopenda