Dr.ulimboka na tetesi za kupewa sumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.ulimboka na tetesi za kupewa sumu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by majany, Jun 29, 2012.

 1. majany

  majany JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Jamani eeh..I had a rumour kutoka kwa mtu wa ndani pale muhimbili hospital kwamba Dr.Ulimboka amepata kidney failure.Kwa mtazamo wangu mdogo wa biology,huwezi kupigwa pekee halafu ukapata kidney failure!!Je ni kweli kwamba Dr.Ulimboka alipewa sumu??
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  bwna aeeeh sasa na nyinyi mmezidi ...mara magazeti ayanasema yuko stable mara mambo ya kidney failure mwisho mtasema brain concusion
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  labda tumuulize mtaalamu wa sumu dk.Mwakyembe!
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  acheni udaku
   
 5. k

  kitero JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tuache utani na uzushi kuhusu afya za watu na hasa huyu mpiganaji Ulimboka.Kama huna uhakika na hicho kitu waachie wenye uhakika na sii kuzusha.
   
Loading...