Kumekuwa kukitokea changamoto nyingi ndani ya Taifa letu na kuzua mitafaruko mikubwa ndani ya jamii yetu ya kitanzania na hatima yake hakuna kujua ukweli au uhalisia wa jambo lenyewe. Mfano mzuri ni swala kutekwa kwa Dr Ulimboka lilivuta hisia zetu na kutaka kujua uhalisia wa jambo lenyewe. Lakushangaza hakuna wa kuwaambia Watanzania juu ya ukweli huo, si Serikali, si Dr Ulimboka mwenyewe. Ninachokumbuka tu kuwa Dr Ulimboka aliahidi kuanika ukweli juu ya kilicho msibu na baadaye nikasikia kuwa aliahidiwa donge nono asiseme lililojili na unaweza kuamini hilo na kweli yuko kimya.Ila ukae ukijua siku tukikutana ujue lazima unieleze ukweli huo vinginevyo sitakubali maana mmezoa kucheza na akili za Watanzania na kuigombanisha Serikali na wananchi.
Hebu niambie lilivyo hitimishwa e mwenye IQ kubwa maana ulikonieleza nikapekue siwezi kupata kutokana kuwa IQ ndogo!.Inaelekea hii issue imeisikia Leo na IQ yako itakuwa ndogo sana,, Kwa kukusaidia nenda maktaba ukasome magazeti yaliyo andika kuhusu habari hii kipindi hicho au nenda YOUTUBE
Dr. Uli alikuja kugundua kwamba watu wanajifanya wanakuunga mkono, lakini ukiingia matatizoni wanakukimbia na kukuacha utaabike peke yako. Mfano, ukimwacha Dr. Uli, vipi Lema, Melo kutaja wachache.Hebu niambie lilivyo hitimishwa e mwenye IQ kubwa maana ulikonieleza nikapekue siwezi kupata kutokana kuwa IQ ndogo!.
Hebu niambie lilivyo hitimishwa e mwenye IQ kubwa maana ulikonieleza nikapekue siwezi kupata kutokana kuwa IQ ndogo!.
Haya buanaHakuna mkate mgumu mbele ya chai,
Kuna ule wa kiarabu, niliukuta...Tlemcen, wacha kabisa, kidogo nivunje jino. Huo hausikii cha chai wala supu ya mkia wa kondoo!!Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,