Dr Ulimboka kimya chako Mungu anakuona!.

DOMBWELA

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
636
1,000
Kumekuwa kukitokea changamoto nyingi ndani ya Taifa letu na kuzua mitafaruko mikubwa ndani ya jamii yetu ya kitanzania na hatima yake hakuna kujua ukweli au uhalisia wa jambo lenyewe. Mfano mzuri ni swala kutekwa kwa Dr Ulimboka lilivuta hisia zetu na kutaka kujua uhalisia wa jambo lenyewe. Lakushangaza hakuna wa kuwaambia Watanzania juu ya ukweli huo, si Serikali, si Dr Ulimboka mwenyewe.

Ninachokumbuka tu kuwa Dr Ulimboka aliahidi kuanika ukweli juu ya kilicho msibu na baadaye nikasikia kuwa aliahidiwa donge nono asiseme lililojili na unaweza kuamini hilo na kweli yuko kimya.Ila ukae ukijua siku tukikutana ujue lazima unieleze ukweli huo vinginevyo sitakubali maana mmezoa kucheza na akili za Watanzania na kuigombanisha Serikali na wananchi.
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,776
2,000
Amepewa ajira kwenye ubalozi, walitaka kumtoa roho ila siku zilikuwa hazijafika
 

thetowerofbabel

Senior Member
Jul 17, 2010
123
225
Kumekuwa kukitokea changamoto nyingi ndani ya Taifa letu na kuzua mitafaruko mikubwa ndani ya jamii yetu ya kitanzania na hatima yake hakuna kujua ukweli au uhalisia wa jambo lenyewe. Mfano mzuri ni swala kutekwa kwa Dr Ulimboka lilivuta hisia zetu na kutaka kujua uhalisia wa jambo lenyewe. Lakushangaza hakuna wa kuwaambia Watanzania juu ya ukweli huo, si Serikali, si Dr Ulimboka mwenyewe. Ninachokumbuka tu kuwa Dr Ulimboka aliahidi kuanika ukweli juu ya kilicho msibu na baadaye nikasikia kuwa aliahidiwa donge nono asiseme lililojili na unaweza kuamini hilo na kweli yuko kimya.Ila ukae ukijua siku tukikutana ujue lazima unieleze ukweli huo vinginevyo sitakubali maana mmezoa kucheza na akili za Watanzania na kuigombanisha Serikali na wananchi.
Inaelekea hii issue imeisikia Leo na IQ yako itakuwa ndogo sana,, Kwa kukusaidia nenda maktaba ukasome magazeti yaliyo andika kuhusu habari hii kipindi hicho au nenda YOUTUBE
 

DOMBWELA

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
636
1,000
Inaelekea hii issue imeisikia Leo na IQ yako itakuwa ndogo sana,, Kwa kukusaidia nenda maktaba ukasome magazeti yaliyo andika kuhusu habari hii kipindi hicho au nenda YOUTUBE
Hebu niambie lilivyo hitimishwa e mwenye IQ kubwa maana ulikonieleza nikapekue siwezi kupata kutokana kuwa IQ ndogo!.
 

Amigo Sr

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
351
250
Mwacheni kamanda apumzike, aliyolifanyia Taifa hususani sekta ya Afya ni makubwa mno kuliko tulichomlipa Watanzania. Nchi hii ni ya hovyo sana!!!! You sacrifice Your Life and No Body Cares.
 

sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
5,903
2,000
Hebu niambie lilivyo hitimishwa e mwenye IQ kubwa maana ulikonieleza nikapekue siwezi kupata kutokana kuwa IQ ndogo!.
Dr. Uli alikuja kugundua kwamba watu wanajifanya wanakuunga mkono, lakini ukiingia matatizoni wanakukimbia na kukuacha utaabike peke yako. Mfano, ukimwacha Dr. Uli, vipi Lema, Melo kutaja wachache.
 

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
522
500
Sio Muda wa kufukua makaburi Mkuu..... Sasa ni wakati wa kazi tu!! Maana mlizoea vya kunyonga...
 

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,053
2,000
Aligundua kuwa CDM hambebeki!!! Rais Magufuli anapenda wakweli hivyo natumaini anamwona Dr Ulimboka na huenda atampa kazi za kufanya.
 

Brice85

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
828
1,000
watu waligombana na gov yao kwa ajili yake then yeye kapiga kimya waliopaza sauti kumtetea wameonekana wajinga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom