Dhana nzima ya ule mgomo haikueleweka kwa watu wengi, mimi siwalaumu sababu asilimia kubwa ya watanzania wako ignorant na masuala ya afya, hawajui nani yuko responsible na afya zao, may be ule mgomo ulitakiwa ufanyike 2040 huko watu wangeelewa ila zilikuwa ni harakati za kisasa zilizoletwa kwenye jamii ya kizamani