I thnx so much ma Juses christ.
Hakika mwenyezi Mungu hadhihakiwi na watenda matendo maovu
Mungu endelea kumsimamia kijana wako ili apone kabisa.
Mungu mbariki Ulimboka na madaktari wanaomtibu kijana huyu nasiye na hatia.
Mungu ibariki Tanzania hii inayoongozwa na mataahira hawa wa CCM na SERIKALI YAO
hii habari nimeisikia magazetini RFA hakika ni habari njema sana..na madaktari waliofutiwa usajiri wamesema hayo waliyategemea na hiyo haifanyi walegeze kamba..
Laana ni kwa wale wauwaji wa Mabwepande kina Insp Msangi na wenzake, naona kuna haja jamaa aanze ku record kila kitu for records ili hata ikitokea lolote tunaweza kwenda nacho The Hague kama ushahidi!!!!
Ni habari nzuri sana lakini wasi wasi wangu kuwa hawa vijana wa Jack Zoka si watafanya jaribio tena? Shetani ni mbishi kweli kweli.Naichukia mno CCM, TISS, POLISI, NEC na kubwa la maadui Baba Mwanaasha.
Waliokabidhiwa jukumu la kuongoza nchi wameamua kutumia nguvu za giza na kuwatelekeza wananchi kwa faida tyao binafsi na familia zao. Wameshindwa kuelewa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye mweza wa kila jambo na kuwa daima penye nuru giza hutoweka, aibu haitawatoka daima na adhabu kwa mambo machafu na ya uovu waliyofanya na wanayoendelea itawapata hapa hapa duniani.
EE MWENYEZI MUNGU ENDELEA KUMLINDA MJA WAKO NA UMSAIDIE ULIMBOKA APATE KUPONA HARAKA.