Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
497
Reaction score
236
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Madactari, Dr. Ulimboka anaendelea vizuri. Inasemekana Madactari wameendelea kupokea vitisho kwa njia ya sms. Mgaya (Katibu TUCTA) amesema wapo kwenye mchakato wa kuliwasilisha jambo hilo kwenye shirika la kazi Duniani (ILO)

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • PHOTO.jpg
    PHOTO.jpg
    34 KB · Views: 8,488
Asante kamanda Isack kwa kutuhabarisha kupitia picha safi sana na asante mungu, majaribu ya mungu ni mengi hata yesu aliuawa wakati alikuja kuwakomboa wanadamu
 
Get well soon DOCTOR,Tunakuombea Bwana wa Majeshi atakuponya
 
Du hao jamaa walidhamiria kuua kabisa maana kipigo alichokipata Dr ulimboka kilikua sio cha kitoto....Get well soon mpambanaji.
 
Mkono wenye Nguvu wa kueme kwa Yesu uendelee kuganya Miujiza kwake.Atapona kwa Jina la Yesu.
 
Nimesikia kuwa kesho itabidi afanyiwe operation ya taya, ambalo limeharibiwa vibaya ! Nilichopenda ni kuwa ma Dr. wamechachamaa na wanafanya ulinzi wao wenyewe, na hata askari waliotaka kuingia ndani ya chumba leo wakati Dhaifu anakaribia kwenda wametolewa benzi, huyu wamesema watamlinda wenyewe na hawataki hawa "wajambazi" walete sumu zao wala kumkaribia !

Safi sana hii na kaza buti wasomi nyie mpaka kieleweke !! Vasko Da Gama safari hii lazima atolewe nishai na wajaza mabakuli !
 
Back
Top Bottom