Dr.Tulia anazidi kukata mawimbi Kimataifa

wakati anagombea Lucas Mwashamba alipiga ngoma kweli akaweka hadi namba ya simu, sikuhizi sumsikii
 
Haina tija boss

Hii ni kama kumyonyesha kijana alie balehe

Mbeya inahitaji mambo makubwa zaidi ya project hizi za kizamani
Maana hii kukamilika kwake tu tayari inakua outdated

Tafuta exposure utanielewa
Hueleweki wewe nyumbu.Project kubwa kwako ni kama zipi hizo? Taja 4 tuu
 
Ashukuru nini akat tunalipa kodi...

Kwani tunaomba maendeleo?
Au tunataka maendeleo?
Kwa hiyo wakati Sugu akiwa Mbunge Kodi mlikuwa hamlipi? Maendeleo aliyofanya Yako wapi? Tena Halmashauri ya Jiji ilikuwa chini ya Machadema, maendeleo Yako wapi?
 
Nyumbu mama yako

Jibu hoja kama msomi sio uniandikie matap tap hapa shenzi
Wewe nyumbu,hoja ipi? Wewe ndio nimekuuliza miradi mikubwa kwako ni ipi?

Nyie nyumbu wa Chadema si mliongoza Jiji Kwa miaka 10,onyesheni maendeleo mliyofanya Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwenye hili Naungana na Tulia, hatuwezi kupoteza connection hii ya kimataifa kisa sugu. Mm sipo Mbeya, naishi Arusha 😎
 
Kubwa jinga,Ukiwa huna chama ndio unaropoka pumba?

Mbeya Kuna miradi mikubwa najua hujui,Rudi kwenye mada niliyokupa utaona
Jinga babako alimwagia ndani yanayo fanyika mbeya ni madogo kulinganisha na vile inastaili,


Safiri basi nenda hata South utarudi ukaelewa nacho sema

Umekula leo maana huelewi kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…