Dr.Tulia anazidi kukata mawimbi Kimataifa

Mumeanza excuses mapema sana mbona? πŸ˜‚πŸ˜‚
Sababu zipi?Ipo wazi kama Yanga wanaingia uwanjani bure geti wazi fungulia dogs!CCM hamna mbavu za kushinda uchaguzi hata wa aina gani hadi muombe assists za watumishi wajingawajinga,Polisi na vitisho vya "teeth" kwa watumikiao/watumishi.
 
Mnaenda uwanjani kufanya nini?
 
Huu ndio ukweli ambao hutaki kusikia,lakini jifunze tu mkuu kuzoea kusikia usiyotaka.2015 nilimchagua sugu lakini mwaka kesho anisamehe sana.
Mpumbavu tuu ndio atachagua maneno badala ya Maendeleo.

Mbeya ya Tulia imebadilika kimaendeleo kuliko Mbeya ya Sugu na miaka yake 10.

Anataka tena,Mbeya sio Mkoa wa watu kupumzikia na kula pensheni za jasho la wengine
 
Huu ndio ukweli ambao hutaki kusikia,lakini jifunze tu mkuu kuzoea kusikia usiyotaka.2015 nilimchagua sugu lakini mwaka kesho anisamehe sana.
Wewe unajulikana.Umezawadiwa PhD kutoka chuo kikubwa Milembe na pazia kuuubwaa limeandikwa AFYA.Huwezi kutenda la maana kuikomboa "inji" hii.Upoupo tu kama kipolo cha ugali na kansolele.
 
Wewe unajulikana.Umezawadiwa PhD kutoka chuo kikubwa Milembe na pazia kuuubwaa limeandikwa AFYA.Huwezi kutenda la maana kuikomboa "inji" hii.Upoupo tu kama kipolo cha ugali na kansolele.
Hakuna haja ya matusi mkuu,tunataka maendelea sio maneno.Miaka 10 hatujakombolewa,tunataka na tulia tumpe miaka 10 tuone matokeo.
 
Kipindi tumekaribia uchaguzi Tulia alikuwa anamtreat vizuri kweli Sugu kumbe alikuwa analitaka Jimbo lake maskini.
Ila kiukweli tukiacha ushabiki huyu mama kazi anapiga mi ningemshauri sugu atafute Jimbo lingine,kwa babutale kule patamfaa hamna mtu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…