Dr.Tulia anazidi kukata mawimbi Kimataifa

Nimecheka kwa nguvu, kuna picha ililetwa humu akiwa na Putin, vipi amemaliza vita vya Ukraine?
Anatekeleza wajibu wake,swala la kumaliza vita ni la wanaopigana.

Umeumia si ndio? πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…