The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
ni baada ya kufanikiwa kuwadhibiti kabisa kina mbowe na kundi lake kule bungeni hatimae sasa mheshmiwa naibu spika akishrikiana na wabunge wenzie wanaotoka wilayani rungwe mkoa wa mbeya wamedhamiria kufufua ngoma za asili ya baadhi ya makabila ya mbeya maarufu kama limbenenga