Dr. Tulia Akson ageukia ngoma za asili

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,502
2,046
ni baada ya kufanikiwa kuwadhibiti kabisa kina mbowe na kundi lake kule bungeni hatimae sasa mheshmiwa naibu spika akishrikiana na wabunge wenzie wanaotoka wilayani rungwe mkoa wa mbeya wamedhamiria kufufua ngoma za asili ya baadhi ya makabila ya mbeya maarufu kama limbenenga
 
Wow!! Hapa ukawa utawaona wanachungulia na kutoka.
 
Anafikiri atapewa jimbo? Ataendelea kuwa mbunge wa vitu maalum tu! Jimbo hapati!!
 
Mimi nimebanwa na haja kubwa naenda kujisaidia na sirudi tena kuchangia hii mada.

I hate this lady from the bottom of the chore of my dem phaqn heart. Hii dunia tunapita majivuno na uonev wa nini???????
 
Niliwahi kusikia neno "Ugly woman" Sasa naliona kwa uhalisia! Dah Tulia ni ugly woman jamani!! Ila nayo ni sifa lakini!
 
atakuwa wizard tu na yeye,ndo mana ana mawazo ya kishirikina shirikina
Mimi ni mchawi kumbe ulikuwa hujui. Tulieni tuwanyooshe. Mmeamua kuwa upande wa chama cha ku fail. Kila kitu lazima mta fail. CCM ndio baba lao Africa nzima.

Lazima mtanyooka Ndani ya bunge tunawanyoosha. Kwenye mitandao tunawanyoosha. Serikalini tunawanyoosha. Mtakoma mmeamua kuwa wapinzani mtakufa kwa pressure.
 
Niliwahi kusikia neno "Ugly woman" Sasa naliona kwa uhalisia! Dah Tulia ni ugly woman jamani!! Ila nayo ni sifa lakini!
Wewe unaposifiwa na mme wako pekee unadhani wewe ni mzuri sasa pyuuuu.
 
Mimi ni mchawi kumbe ulikuwa hujui. Tulieni tuwanyooshe. Mmeamua kuwa upande wa chama cha ku fail. Kila kitu lazima mta fail. CCM ndio baba lao Africa nzima.

Lazima mtanyooka Ndani ya bunge
tunawanyoosha. Kwenye mitandao

tunawanyoosha. Serikalini tunawanyoosha

We ngeke acha sifa Na mikwala ya kijinga,Kama kunyooshwa wee ndiyo unanyooshwa

. Mtakoma mmeamua kuwa wapinzani mtakufa kwa pressure.
 
Mimi ni mchawi kumbe ulikuwa hujui. Tulieni tuwanyooshe. Mmeamua kuwa upande wa chama cha ku fail. Kila kitu lazima mta fail. CCM ndio baba lao Africa nzima.

Lazima mtanyooka Ndani ya bunge tunawanyoosha. Kwenye mitandao tunawanyoosha. Serikalini tunawanyoosha. Mtakoma mmeamua kuwa wapinzani mtakufa kwa pressure.
endelea kupiga kelele kwa malipo ya buku 7,labda utafikiriwa kwenye uafisa mtendaji wa kijiji
 
Back
Top Bottom