Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
we hujui kama mtumishi wa umma haruhusiwi kuwa mwanasiasa au mwanachama wa chama cha siasa?
usiwe ----- yule ni mtumishi wa umma atakiwi kujiusisha na chama je kwenye maamuzi ataeleweka vipi?
Like like like like like like ni hatari kuwa Na wanasheria wajinga Kama huyo anaenda Na emotions Na mapenzi kwa mtu badala ya kuangalia kanuni Za Utumishi wa umma zinasema nini kwa ngazi yake, Tanzania tunasafari ndefu sana
Tanzania tumefika hapa kutokana na viongozi wajinga wajinga!, nafasi ya uspika imetangazwa, nimeona kuna best brains wameonyesha interest, badala ya ku support na ku encourage ndio kwanza mna discourage!, mnataka tuendelee kuongozwa na wajinga wajinga hadi lini?!.hakika mkuu,tuna safari ndefu sana.. Pasco kaamua makusudi kujipofusha,kwa sababu anazozijua yeye!.
Nachelea kusema ni binafsi!
Si kosa la huyu Dada, ni mambo ya Rais mstaafu Mh. Dr Kikwete na uteuzi wake usio kuwa na mipango (not programmed). Dr Tulia Ackson alidhamiria kugombea Uspika kutokana na kuendesha Bunge la Katiba vizuri ktk nafasi yake. Ghafula anatunukiwa Unaibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Ukweli hiki ni cheo kikubwa kuliko uspika na hakina longolongo halafu uspika watu washasema wakikatwa wataenda mahakamani. Dr Tulia Ackson hakushauriwa vizuri angetakiwa aachie hii lengo lake maana tayari ni Deputy Attorney General. Pia ni kulinda heshima kwa aliyemteua. Dr Tulia Ackson I like you are educated you are not sick with Elimu Elimu Elimu disease. Merit your status you are Deputy Attorney General
Camooon....aise mkuu nimekuonea fahari.kwa akili hizi,ndio mana ulidisco hata Law of Contract!..halafu bila aibu unakuja na stupid excuses eti watu wa kanda ya Ziwa tuna udhaifu,wakati anafundisha eti akili inawaza mengine....shame!
.hoja ya msingi inabaki kwenye hitimisho la hoja yako ya kwanza:.,je,hajavunja sheria/kanuni/taratibu?
'hoja' nyingine zote ni viroja tu!
Tanzania tumefika hapa kutokana na viongozi wajinga wajinga!, nafasi ya uspika imetangazwa, nimeona kuna best brains wameonyesha interest, badala ya ku support na ku encourage ndio kwanza mna discourage!, mnataka tuendelee kuongozwa na wajinga wajinga hadi lini?!.
Pasco
Camooon....aise mkuu nimekuonea fahari.
Kuna siku tutasikia jaji mkuu Naye anaomba uspika,akishindwa anarudi katika nafasi yake
Tanzania tumefika hapa kutokana na viongozi wajinga wajinga!, nafasi ya uspika imetangazwa, nimeona kuna best brains wameonyesha interest, badala ya ku support na ku encourage ndio kwanza mna discourage!, mnataka tuendelee kuongozwa na wajinga wajinga hadi lini?!.
Pasco
Ni kweli nili disco UDSM kwa sababu ya law of contract tuu!, nadhani kabla hujanishutumu ulipaswa kunipongeza kwa kuwa very open!, kufuatia ku disco ni jambo la aibu, watu wanaodisco, huwa hawathubutu kusema!. Ila pia kati ya masomo simple kabisa ya sheria ni law of contract!, hivyo whoever atakaye disco chuo kwa sababu ya somo moja tuu la law of contract, then atakuwa amedisco kwa sababu nyingine zaidi ya ujinga, regardless hiyo sababu ni ya kijinga vipi!.
This is a fact kuwa Kanda ya Ziwa wana udhaifu katika masuala fulani!, kitendo tuu cha kuukubali udhaifu fulani, hiyo ni strength!. huu pia ni udhaifu, we all all human, hivyo udhaifu kama huu wa mwalimu kufundisha darasani huku wanafunzi wengine wanawaza mengine au wako mbali, ni kawaida sana!, na wala sio shame!, ila kama ni shame labda iwe ni ya mimi kujikubali nilikuwa dhaifu!.
.thanks for this!.
' sasa hizo unazoita viroja ndipo ilipolalia hoja yangu ya msingi kabisa kumhusu huyu Dr. Tulia Akson!. She is a best brain!. Tanzania tuko hapa tulipo kwa sababu ya ignorance ya watawala wetu!, we don't tap the best brains we have na ndia maana tuko hapa tulipo!. Siku zote CCM inashinda kwa sababu imewekeza kwenye ujinga, na ina take advantage ya ignorance ya Watanzania kuendelea kutawala!. Nikashauri kama CCM inataka mabadiliko ya kweli, Dr. Tulia as a no nonsense lady, can make the best speaker Tanzania has ever had!.
Hili la Ignorance ya Watanzania nimelizungumza sana tuu na limetokea tena!.
[h=3]Watanzania ni ignorants au tumelogwa?
[/h][h=3]Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana
[/h][h=3]Watanzania ni Wajinga, Ignorants!, Mwaka 2010 Tulifanya Ujin
[/h][h=3]Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed d
[/h] [h=3]Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufis[/h][h=3]Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance a
[/h][h=3]Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.[/h][h=3]Pamoja Na Ufisadi Wake Wote, Chenge is One of Best Brains
[/h]Pia kuhusu nafasi ya spika nimeisha izungumzia sana humu
[h=3]Naibu Spika Anna Makinda ni Dikteta! -[/h][h=3]Spika Makinda Press Conference Live!.
[/h][h=3]Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!,
[/h][h=3]Wito: Wabunge Badilini Kanuni Kuondoa Udikteta wa Spika/
[/h][h=3]Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live! -
[/h][h=3]Vurugu za Jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!-
[/h]Pasco

Kifungu gani cha sheria au kanuni kinamkataza kuwania hiyo nafasi?
Waeleze hao, Pasco.Tanzania tumefika hapa kutokana na viongozi wajinga wajinga!, nafasi ya uspika imetangazwa, nimeona kuna best brains wameonyesha interest, badala ya ku support na ku encourage ndio kwanza mna discourage!, mnataka tuendelee kuongozwa na wajinga wajinga hadi lini?!.