Dr. Tulia Ackson, nani amekutuma? Unataka nini? Kwanini?

Dr. Tulia Ackson, nani amekutuma? Unataka nini? Kwanini?

haya mambo yapo kila mahali mfano chadema kuteua viti maalum ilhali bado ni ccm ajabu kabisa.

Kaka hapa hatuongelei vyama ila haki, huyo ni mtu wa sheria ambaye anapaswa kuwa Neutral, kama alikuwa anautaka Uspika ana haki ya kugombea ikiwa tu angejiudhuru huo unaibu Mwanasheria mkuu, lakini kwa sasa alichokifanya ni kuivunja sheria ambayo yeye mwenyewe ndio anaisimamia
 
Kuwa Spika wa Bunge la JMT sio lazima utokane na chama fulani cha siasa. Unaweza kuwa mgombea huru.
Siyo kweli! Nafikiri kama alivyosema mchangiaji mmoja huyu akukulia ndani ya ofisi hiyo ya AG. Angekuwa humo hasingefanya aliyoyafanya!
 
Huyu ndiye alipotosha serikali kwenye ishu ya mita 200,inaonekana anatafuta fadhila
 
Hapa ndio tutaona ukomavu wa serikali ya magufuli kama hatomwachisha kazi kwa kiwa kada wa CCM ...naomba wanaharakati wapige makelele aondolewa kwenye nafasi yake

Magufuli amuondoe,huyu ni MTU wa jk,ningekuwa Mimi hata akina asha rose tupa kule,
 
Huyu dada atuachie ofisi yetu ya umma aende. Lumumba
 
haya mambo yapo kila mahali mfano chadema kuteua viti maalum ilhali bado ni ccm ajabu kabisa.

...how old are you?!
Cdm chama cha siasa, ccm chama cha siasa..huyu mtu yuko serikalini then nw anachukua form kugombea uspika kupitia ccm, we unaona sawa?!
..ndo maana ccm itaendelea kuitawala hii nchi kwa sababu ya akili fupi km yako, halafu midomo juu..!!
 
Huyu si alikuwepo kwenye kesi ya mita 200?? Tofauti ya dola na CCM ni nini?
 
Ndio yale ya Kova kupewa ubalozi au ukuu wa wilaya baada ya kustaafu.
 
kati ya watu ninoawana makada wa ccm walio wajibga ni huyu dr akson, kuna ka mama kana vinywere vya hovyo semakafu, dr bana misuli na michael hawa ni wasomi wasiojitambua. ukiona mambo yao unakata tamaa ata ya kusoma. mtu anasoma hajitambui ni full kujipendekeza je elimu yake imemsaidia?

huyu semakafu anafundisha saa ngapi? Kutwanzima itv
 
Ndivyo walivyozoeshwa na mfumo wa CCM wa kuongoza serikali.

Nyie mna roho za kungunı na zımejaa kutu.Huyu dada ni brıght sana.Kila anapopewa nafası anaonesha uwezo na kwa kawaida anatakiwa kuwa rewarded.Hauwezı kumfananisha Dr Atson na mtu km Ndugaı,Nchmbi,Makinda,Zungu,Mwinyı,Mzamır,Blandes,Ikunda n.k.She is very determined ths madame!
 
Kwa kulinda heshima yake ajiuzulu, huwezi kua Deputy AG ukawa kada wa chama.hapo kachemka

Wewe haujuı maana ya kada.Katiba inasema chama kitampendekeza mtu kinayetaka awe spika.Spika sıyo lazima mwanachama hata km ataungwa mkono au kupendekezwa na chama fulani.Huyo Atson hataweza kubabaishwa na bush lawyers wa UKAWA.Nı jembe balaah!
 
kati ya watu ninoawana makada wa ccm walio wajibga ni huyu dr akson, kuna ka mama kana vinywere vya hovyo semakafu, dr bana misuli na michael hawa ni wasomi wasiojitambua. ukiona mambo yao unakata tamaa ata ya kusoma. mtu anasoma hajitambui ni full kujipendekeza je elimu yake imemsaidia?

Wewe utakuwa haumjuı Dr Tulia.Ametulia na ana uwezo wa ku-argue.Hauwezi kumfananisha na Semakafu au Bhana.Hata hvyo mbona watu wengi wenye akili wapo CCM au magamba?Ukawa kumejaa watu wengi ambao wana wivu wa kutokupata nafası za kuongoza.Nature iko hivyo,hakutatokea kuwe na utaratibu ambao watu wote watakuwa viongozı.Wengne tukalıme,tukavue,tuwe walimu,madaktarı,wahandisı,wafanyabiashara n.k.
 
Nyie mna roho za kungunı na zımejaa kutu.Huyu dada ni brıght sana.Kila anapopewa nafası anaonesha uwezo na kwa kawaida anatakiwa kuwa rewarded.Hauwezı kumfananisha Dr Atson na mtu km Ndugaı,Nchmbi,Makinda,Zungu,Mwinyı,Mzamır,Blandes,Ikunda n.k.She is very determined ths madame!
Huo ndiyo ukweli na atayebisha ni mnafiki tu. Huyu Dada ni bright sana. Kama hakuna sheria aliyovunja kwa kuutaka Uspika wa Bunge, kwanini watu wamlaumu!!!

UKAWA wanajifanya eti wakipata nafasi ya kutoa Spika, basi watatenda haki: hamna kitu kama hicho; Wanasiasa wetu hawa ni wale wale tu- wote wanavutia kwao tu.

Kama huyu Dada hajavunja sheria, hiyo ni haki yake.
 
Kaka kanuni na sheria ziko hivi, kwa cheo chake alichonacho cha kiserikali (naibu Mwanasheria Mkuu) hauruhusiwi kujihusisha na mambo ya kisisasa au kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa, sasa anapoenda kuchukua fomu za kugombea Uspika kwa mgongo wa CCM hili hali bado ajatoka serikalini hilo ni kosa

Ag ni mwanasiasa kwa nature ya nafasi yake.Spika sio mwanasiasa,hvyo hakuna kosa wa kasoro.Ameomba nafasi hyo kupitia CCM km ambavyo angeweza kuomba kupitia ACT,NLD n.k.
 
VUTA-NKUVUTE

Mpaka hapa hatakiwi kukalia ofisi ya umma! Hawezi kutenda haki.
 
Last edited by a moderator:
VUTA-NKUVUTE

Ni haki yake kikatiba..pia uspika lazima uupate kupitia chama cha siasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom