Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,162
- 6,307
ambayo alifanya lowassa na Tulia ni mambo mawili tofauti,nadhani bado hujanielewa ama sivyo unachanganya mambo.Kwani uyu sio mbunge? Lowassa alifanya yote hayo akiwa Ccm na alikua anakanywa na Nape kila mara.
ambayo alifanya lowassa na Tulia ni mambo mawili tofauti,nadhani bado hujanielewa ama sivyo unachanganya mambo.
kingine dokta tulia ni mbunge wa kuteuliwa wakati eddo alikuwa wa kuchaguliwa.
Kutikisa kwa kuongeza mzunguko wa hela kwa wananchi au kutikisa kwa Mambo Ya kibwege Kama maandamano, ukuta nk ambayo hayasaidii kuongeza mzunguko wa pesa kwa wananchi?kama ni kwa hayo Mambo Ya kibwege ya maandamano, ukuta nk nikubaliane na wewe kuwa bavicha si tu wanaongoza kwa Mambo ya kibwege Africa mashariki waombe samahani wao wanaongoza dunianiUtafiti umedhihirisha kwamba Bavicha , ndio taasisi pekee ya vijana inayotikisa ukanda wa Maziwa makuu , Kamanda Mambosasa anawafahamu tangu alipokuwa Dodoma .
utofauti upo,kwamba kati ya hao wawili kila mtu jagawa pesa akiwa katika position ipi na kwa kipindi kipi?Utofauti wake uko wapi wakati wote wanagawa pesa kwenye vikundi na warsha za kijamii?
Povu lako halitarudisha nyuma juhudi zinazokaribia kuzaa matunda za Bavicha za kuikomboa nchi .Kutikisa kwa kuongeza mzunguko wa hela kwa wananchi au kutikisa kwa Mambo Ya kibwege Kama maandamano, ukuta nk ambayo hayasaidii kuongeza mzunguko wa pesa kwa wananchi?kama ni kwa hayo Mambo Ya kibwege ya maandamano, ukuta nk nikubaliane na wewe kuwa bavicha si tu wanaongoza kwa Mambo ya kibwege Africa mashariki waombe samahani wao wanaongoza duniani
unawaasa ukiwa nyuma ya keyboard na fake ID?Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .
Wewe kwenu ni jimbo la Nkamia , Mbeya unatafuta nini ?unawaasa ukiwa nyuma ya keyboard na fake ID?
Wapiga kura wa Rungwe,hawaingii humu
Kuwa kwangu chemba hainiondolei utanzania wangu.Wewe kwenu ni jimbo la Nkamia , Mbeya unatafuta nini ?
Mkuu umenikumbusha kisa hiki cha alikwina ambapo Ngunangwa alikuwa akimpiga kijembe Mama Makinda, long time wengi humu hawakuwepo.Wakuu natanguliza salamu ,
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi kikubwa sana , wakazi wengi wa Wilaya hii ni Wanyakyusa , japo kuna makabila mengine.
Tunazo ngoma za asili ambazo kwa uchache ni Mang'oma , Ipenenga , Samba nk , na tumecheza ngoma hizi kwa miaka mingi bila msaada wa hela ama chochote kutoka kwa yeyote , kama kuna aliyetoa chochote basi alitoa kama vile PDG Ndama Mutoto wa ng'ombe anavyowapa wanamuziki wa FM ACADEMIA .
Sasa cha kushangaza mwaka huu amezuka mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia Ackson , Huyu tetesi zinadokeza kwamba lengo lake si kufadhili ngoma za asili , maana alikuwepo miaka yote na alikuwa na uwezo kama huu wa leo , lakini hakufanya hivi , taarifa zinaonyesha kwamba amelenga kurubuni wakazi wa Rungwe ili achaguliwe mbunge uchaguzi ujao .
Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .
Dr Tulia aliyeingia bungeni na kubebwa kwa mbeleko ya chuma hadi kwenye unaibu spika , amekuwa mstari wa mbele kudhalilisha na kunyanyasa wabunge wa upinzani , amezima mijadala mingi yenye tija ili kuokoa chama chake , huyu hawezi kuwa msaada wa Akina Mama wauza ndizi na maziwa wa ushirika au Kiwira , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Makandana , hafai .
Dr Ngunangwa aliwahi kuwauliza waliokuwa wanajipitisha kwenye jimbo lake huko Njombe na kutoa zawadi za baiskeli nk , kwamba WALIKWINA ? yaani kwa kiswahili , MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI ?
Nakala ya uzi huu imfikie JOHN MWAMBIGIJA .
Wakuu natanguliza salamu ,

Mkuu hata wakati huo alikuwa na kiuno 12 kama sasa au kidogo alikuwa mmwanamke wa kibantu. Maana size ile ya kiuno inapatikana mashariki ya mbali kwa vitoto vya chiniya miaka 10-12 . sijui mume wake huwa anakamatia wapi !! duu bila kuwa na michepuko jamaa angekuwa kala hasara hasaDr. Tulia Alikua bonge la lecturer, nakumbuka ndiye aliotuweka sawa kwenye first year orientation ya UDSL maana tulikua very exhausted, I Will always remember her for that,,, na namwomba akimaliza siasa arudi nyumbani UDSL.
Mbeya haina mwenyekiti, wewe umesema ni mwenyekiti Wa mkoa Wa Mbeya! Sijawahi kuona cheo cha namna aiseeWakuu natanguliza salamu ,
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi kikubwa sana , wakazi wengi wa Wilaya hii ni Wanyakyusa , japo kuna makabila mengine.
Tunazo ngoma za asili ambazo kwa uchache ni Mang'oma , Ipenenga , Samba nk , na tumecheza ngoma hizi kwa miaka mingi bila msaada wa hela ama chochote kutoka kwa yeyote , kama kuna aliyetoa chochote basi alitoa kama vile PDG Ndama Mutoto wa ng'ombe anavyowapa wanamuziki wa FM ACADEMIA .
Sasa cha kushangaza mwaka huu amezuka mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia Ackson , Huyu tetesi zinadokeza kwamba lengo lake si kufadhili ngoma za asili , maana alikuwepo miaka yote na alikuwa na uwezo kama huu wa leo , lakini hakufanya hivi , taarifa zinaonyesha kwamba amelenga kurubuni wakazi wa Rungwe ili achaguliwe mbunge uchaguzi ujao .
Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .
Dr Tulia aliyeingia bungeni na kubebwa kwa mbeleko ya chuma hadi kwenye unaibu spika , amekuwa mstari wa mbele kudhalilisha na kunyanyasa wabunge wa upinzani , amezima mijadala mingi yenye tija ili kuokoa chama chake , huyu hawezi kuwa msaada wa Akina Mama wauza ndizi na maziwa wa ushirika au Kiwira , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Makandana , hafai .
Dr Ngunangwa aliwahi kuwauliza waliokuwa wanajipitisha kwenye jimbo lake huko Njombe na kutoa zawadi za baiskeli nk , kwamba WALIKWINA ? yaani kwa kiswahili , MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI ?
Nakala ya uzi huu imfikie JOHN MWAMBIGIJA .
Hatukatai yeye kugombea ubunge , bali tunachokataa ni mbinu zake za kujifanya eti leo anafadhili ngoma za jadi , Huku akiwa na mchakato nyuma ya pazia .Hakuna mwenye hati miliki na jimbo lolote.
Hakuna muda sahihi wakutangaza nia wala sio kosa kujiandaa miaka hata kumi ili uje kugombea.
Utakuwa mtu wa ajabu km wewe ni mbunge Wa mahala Fulani , ukaona mtu mwingine naye anataka kuja kugombea jimbo hilo hilo. Ukaona Ni maajabu.
Umeanza kumwogopa ???????
Soma tena mkuu .Mbeya haina mwenyekiti, wewe umesema ni mwenyekiti Wa mkoa Wa Mbeya! Sijawahi kuona cheo cha namna aisee
mbunge wa Rungwe Sauli ametulia na anamsapoti Tulia,,,,,,wewe kibendera wa CHADEMA unatoka povu tu.....niko uwanjani Tandale hapa Tkuyu karibu Laxi Mi nikununulie supuNani kakudanganya kwamba Tulia anasaidia ? Huyu anataka asaidiwe yeye ubunge , kingine ni kwamba kwa siasa za kishamba za ccm mpinzani yeyote akianzisha jambo kama hilo mabomu yatarindima kila kona , hata hili hulijui ?