Dr Tulia Ackson Miaka yote aikuwa wapi?

Dr Tulia Ackson Miaka yote aikuwa wapi?

Sio wafanye siasa bali,wasaidie jamii kama anavyofanya dkt.tulia
Nani kakudanganya kwamba Tulia anasaidia ? Huyu anataka asaidiwe yeye ubunge , kingine ni kwamba kwa siasa za kishamba za ccm mpinzani yeyote akianzisha jambo kama hilo mabomu yatarindima kila kona , hata hili hulijui ?
 
Haya mambo yalikuwepo toka siku nyingi tena mashindano hasa .Nakumbuka tulikuwa wadogo tunayaona haya.Naona wewe akili zako zote umejaa siasa kuna watu wanaona mbali zaidi ya siasa , vile vile kufufua ngoma za asili ambazo siku nyingi zilishaanza kusahaulika anatakiwa kupongezwa badala ya kushutumiwa .Badilikeni jamani.
Hakuna kitu hapo, akipata ubunge baadae anakwambia ni hela yangu imenifanya niwe mbunge wala sio kura yako, kama kweli hatafuti kitu mwambie hilo tamasha awe anafanyia Dodoma au Dar na lisiwe na sura ya jimbo lake, mbona vipo vitu vingi anaweza kufanya vyenye sura ya kitaifa ? na sio jimbo.
 
Kwani yeye si mtanzania, au hana sifa za kugombea Ubunge?
Nakushauri upunguze Chuki, kwakuwa hazita kuacha salama. Kama atagombea Ubunge,Wananchi ndio watakao amua. Endelea kula ugali wako chuki huzaa dhambi.
 
Nani kakudanganya kwamba Tulia anasaidia ? Huyu anataka asaidiwe yeye ubunge , kingine ni kwamba kwa siasa za kishamba za ccm mpinzani yeyote akianzisha jambo kama hilo mabomu yatarindima kila kona , hata hili hulijui ?
Acha hizo wew...huna hoja.yani mtu katoa msaada kwa wananchi kugharamia vifaa mahospitalini,kujenga shule na kusaidia makundi ya kina mama,unasema anajisaidia mwenyew?
Million 10 alizotoa pale soko la sido lilivyoungua amejisaidia yeye,au anataka agombee jimbo la mbeya mjini?
Fikiria kwa upana,hata kama lengo ni kugombea ubunge jiulize kuna wabunge wangapi au wenye nia wangapi wamefika au kufanya kama yeye?
 
Young man, get a life...inakusaidia nini kujenga chuki kwa Dr. Tulia? Amekwambia ana lengo la kugombea ubunge? Bavicha mbona mna roho mbaya hivyo? Hutaki na hata hupendi utamaduni ngoma zenu zipate zipate mtu wa kusambaza kwa ufadhili?
Aacha kupofuka kwa Kanga za kuchezea ngoma, yeye ni wakitaifa kama lengo sio jimbo mwambie afanye yanahusu kutaifa kuliko kulenga jimbo, na ya kitaifa wala hayaitaji mtaji mkubwa kama anaotumia kwenye Ngoma.
 
Uzuri watu wa jamii forum hawanauwezo wa kumzuia Tulia kuchukua jimbo maana wapiga kura ni watu wa vijijini hata JF hawaijui haaaaaaaa

Pambana na hali yako mkuu wivu utakuua "
 
Kaanza kumwaga pesa kabla ya kampeni.
kampeni gani sasa wakati uchaguzi bado hata wa ndani ya chama kumchagua atakayesimama bado? mi nadhani ni haki yake kufanya hayo yote,wananchi ndio wataamua.binadamu bwana ndo kwanza h 2017
 
Haya mambo yalikuwepo toka siku nyingi tena mashindano hasa .Nakumbuka tulikuwa wadogo tunayaona haya.Naona wewe akili zako zote umejaa siasa kuna watu wanaona mbali zaidi ya siasa , vile vile kufufua ngoma za asili ambazo siku nyingi zilishaanza kusahaulika anatakiwa kupongezwa badala ya kushutumiwa .Badilikeni jamani.
Alikuwa wapi siku zote
 
Acha hizo wew...huna hoja.yani mtu katoa msaada kwa wananchi kugharamia vifaa mahospitalini,kujenga shule na kusaidia makundi ya kina mama,unasema anajisaidia mwenyew?
Million 10 alizotoa pale soko la sido lilivyoungua amejisaidia yeye,au anataka agombee jimbo la mbeya mjini?
Fikiria kwa upana,hata kama lengo ni kugombea ubunge jiulize kuna wabunge wangapi au wenye nia wangapi wamefika au kufanya kama yeye?
Ha! Ha! Ha! Mkuu hapa Jf tunaandika haya ili kuweka kumbukumbu sawa baada ya miaka kadhaa kupita utakuja kukumbuka hili andiko , nakuombea maisha marefu .
 
Umeongea vyema sana, Tulia anastahili pongezi sana kwa hili.

Kwa mji mdogo kama Tukuyu, mashindano haya yanaongeza fursa kwa wafanyabiashara wa Tukuyu na Rungwe kwa ujumla ikiwepo kuongeza kwa kiasi kikubwa mzunguko wa fedha.
Siyo kweli mzunguko wa pesa ni mdogo Tanzania nzima utaongezekaje tukuyu jielewe
 
Wakuu natanguliza salamu ,

Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi kikubwa sana , wakazi wengi wa Wilaya hii ni Wanyakyusa , japo kuna makabila mengine.

Tunazo ngoma za asili ambazo kwa uchache ni Mang'oma , Ipenenga , Samba nk , na tumecheza ngoma hizi kwa miaka mingi bila msaada wa hela ama chochote kutoka kwa yeyote , kama kuna aliyetoa chochote basi alitoa kama vile PDG Ndama Mutoto wa ng'ombe anavyowapa wanamuziki wa FM ACADEMIA .

Sasa cha kushangaza mwaka huu amezuka mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia Ackson , Huyu tetesi zinadokeza kwamba lengo lake si kufadhili ngoma za asili , maana alikuwepo miaka yote na alikuwa na uwezo kama huu wa leo , lakini hakufanya hivi , taarifa zinaonyesha kwamba amelenga kurubuni wakazi wa Rungwe ili achaguliwe mbunge uchaguzi ujao .

Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .

Dr Tulia aliyeingia bungeni na kubebwa kwa mbeleko ya chuma hadi kwenye unaibu spika , amekuwa mstari wa mbele kudhalilisha na kunyanyasa wabunge wa upinzani , amezima mijadala mingi yenye tija ili kuokoa chama chake , huyu hawezi kuwa msaada wa Akina Mama wauza ndizi na maziwa wa ushirika au Kiwira , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Makandana , hafai .

Dr Ngunangwa aliwahi kuwauliza waliokuwa wanajipitisha kwenye jimbo lake huko Njombe na kutoa zawadi za baiskeli nk , kwamba WALIKWINA ? yaani kwa kiswahili , MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI ?

Nakala ya uzi huu imfikie JOHN MWAMBIGIJA .
Kweli ujinga ni mzigo kwani sisi ndio wapiga kura wenu halafu huyo mwambigija alivyo shindwa uchaguzi 2015 aliye mshinda allileta ngoma? Huu ni ushuzi wa karne kwani yeye haruhusiwi kugombea sasa naonanTulia ametulia kama kuleta ngoma tu watu wanesha anza kujamba jamba wakati ukifika si watu watajinyea tu.
 
Ni kweli anaompango was kumtoa Sauli ambaye alimhonga pesa huyo Mwambigija unayemwita Mzee wa upako.
Tatizo la hapo Rungwe ni kwamba kwa muda wote hiyo ni ngome ya CCM na 2015 CHADEMA iliaminika lakini MWAMBIGIJA alichukua pesa kwa Sauli.
Maana kwa kesi iliyokuwepo mahakamani Ushindi ulikuwa kwa CHADEMA MAANA KURA WALIMZIDI SAULI.
Kuthibitisha hilo Muulize Mwambigija atakuambia kuwa baada ya kesi kuisha alinunua gari pamoja na kujenga nyumba hapo Mbeya mjini na kwingineko.
Matokeo yake akafukuzwa UENYEKITI WA MKOA kama ilivyokuwa kwa SHITAMBALA alipouza matokeo ya Mbeya Vijijini .
 
kampeni gani sasa wakati uchaguzi bado hata wa ndani ya chama kumchagua atakayesimama bado? mi nadhani ni haki yake kufanya hayo yote,wananchi ndio wataamua.binadamu bwana ndo kwanza h 2017

Hii ni kawaida ya Ccm, wanaotaka kugombea Urais na ubunge wanafanya hivyo.
 
Ha! Ha! Ha! Mkuu hapa Jf tunaandika haya ili kuweka kumbukumbu sawa baada ya miaka kadhaa kupita utakuja kukumbuka hili andiko , nakuombea maisha marefu .
Tuendelee kubishana kwa hoja,nadhani tayari nimekushnda kwa hili mkuu.
Sijakataa,kwamba lengo lake sio hilo inaweza na huenda ikawa.kwahyo wew usianzishe uzi ati kwamb il tujue ulisema wakati jambo hili lipo wazi.suala jiulize ni wangapi wamefika au wamethubutu kufanya kama yeye.ana mchango mkubwa sana dokta warungwe pekee ndio wanafahamu.wew huwezi fahamu...
 
Nani alikudanganya kwamba ngoma za asili ziliwahi kufa Mbeya ? Kama hujui kitu kaa kimya bhana , halafu hujiulizi Why Now ?
Kwani wewe ndio unapangia watu wafanye mini na lini? Acha siasa za kuigaiga why know ulitaka iwe lini?
 
Hii ni kawaida ya Ccm, wanaotaka kugombea Urais na ubunge wanafanya hivyo.
Inaweza kuwa sahihi mkuu,lakini kwa mambo aliyofanya naibu spika sidhani kama kuna mwanaccm au chadema ashawahi kuvuka au kutoa mchango mkubwa kama yeye.hvyo amefanya kitu,kikubwa bila kujali lengo lake then mwisho wa siku chama na wananchi wake wataamua.
 
Hauwezi kumtetea, haya mambo hayajanza leo. Lowassa alifanya hivi hivi, akijadai anasaidia jamii wakati anafanya kampeni kimya kimya.
 
Back
Top Bottom