Dr Tulia Ackson Miaka yote aikuwa wapi?

Hongera zake kwa kukumbuka ASILI yake , apewe ushirikiano
Bongo fleva na miziki ya kigeni wana Wafadhili ngoma za asili hazina hongera Tulia kwa ubunifu.tamasha liko lini lazima niende. Lete tarehe mleta mada
 
mkimpa ubunge huyu dada, nitawadharau sana wanyakyusa.
wachaga mbona mlimpa ubunge mchaga mwenzenu mbowe kuna tatizo gani wanyakyusa wakimpa mnyakyusa mwenzao ubunge? Kwenu Kilimanjaro ruksa kwa makabila mengine Hapana. Wewe mwanga tu
 
Mtoa mada hapo unazingua. Tulia anafanya kitu kikubwa sana. Aungwe mkono.
 
Nili

Haya mashindano kwa ni ya kusini tu. Namshauri Ayafanye ya nchi nzima na yahamishiwe Dar-Es-Salaam!
Ni mashindano yanayohusisha vikundi toka mikoa mbalimbali.

Kila kitu kikifanyika Dar kwingine kutafanyika nin?
 
Kutumia ngoma za asili ili kupata mteremko wa ubunge ni sawa na kuwadhalilisha watu wa Rungwe .
Wewe unatumia mbinu gani kwenda bungeni ..... maana si mara moja umekuwa ukijigamba humu JF kuwa utamng'oa Mwakyembe wakati hata kwenye kura za maoni ndani ya Chadema huna ushawishi.
 
Amelenga kweli kusaidia ?
Yanakuhusu nin hayo?cha msingi jiulize mashindano haya yana msaidia mwananchi wa Rungwe?

Zingatia wageni karibu 3000 wanakwenda Tukuyu kwa wakati mmoja kwenye mashindano haya, hiyo ni zaidi ya fursa na hilo ndilo la msingi kuliko hayo mawazo unayoyaleta ya siasa ndogo ndogo zisizo na tija kwa mwananchi.
 
Mkuu, Mimi nimishamuelewa tangu muda na nimekuwa nikiwahamasiha watu kibao Wampuuze! Huyu Mshenzi kweli, Jana kakatiza Mitaa ya home Ushirika anakwenda huko Bush kama kawaida kuwarubuni wazee huko Vijijini. Nilitaka 'Nkuntunya nimbighobhigo' bahati yake mbele yake walimtangulia mamwela! Ila anajisumbua hatuwezi kufanya Ujinga kama huu wana Rungwe.
 
Kama hujui kitu kaa kimya bhana , halafu hujiulizi Why Now ?
Mawazo madogo kweli, kwanin isiwe sasa?

Hili lingefanyika Hai, Mbowe mwenyewe angeunga mkono na kushiriki kwa sababu angefahamu linaleta pesa nyumbani, nyie mnabaki kucheza makida makida badala kuangalia fursa.
 
Nyie minyaki ni mibishi mpaka mtakapo ingia shimoni.
Sasa wewe kufadhili hizo ngoma ulikatazwa?
Peleka na wewe ile ngoma ya kushikana mikono, uliyofundishwa na Mbowe minyaki wenzio wakaicheze!!!!
 
Nitawashangaa sana watani zangu kama mtamkabithi jimbo...
 
Shurti asigombee ubunge ili nia yake iendelee kuwa njema
Akigombea kuna tatizo gani?jiulize wengine watakaogombea wamefanya nin zaidi ya anachohangaikia Tulia kwa faida ya watu wa huko?
 
Azifufue ili iweje wakati nchi haina utamaduni inaousimamia?
 
Hii nchi bana viongozi wanafiki, wananchi ndio usiseme. Acha tu nikae kimya. Kila kukicha Maskendo tu.
 
Ni mashindano yanayohusisha vikundi toka mikoa mbalimbali.

Kila kitu kikifanyika Dar kwingine kutafanyika nin?
Basi Dodoma. Ombi langu ni kuwa mashindano yawe ya nchi nzima!
 
Wageni 3000 wakifika uchumi wa rungwe utabadilika ghafla mahoteli magesti House na mabaa yatafurika wateja wapya watakaomwaga pesa rungwe. Pia boda boda taxi na daladala watafanya biashara hasa. Mama nitilie nk watauza sana pia wengi wataondoka na mchele bora wa mbeya na ndizi kwenda nazo kwao hivyo wakulima wafanyabiashara walio wengi wa mchele na ndizi rungwe watafaidika. Tulia ana akili mno kuzidi wachumi wengi ni mchumi mwenye uwezo mkubwa wa Kuchangamsha uchumi wa rungwe .tunahitaji wabunifu Kama TUlia wa kuchangamsha uchumi wa rungwe sio tu maruhuni wawinda ubunge tu na wapiga yowe hewa la people's Power na magwanda yao yasiyowaingizia pesa walio wengi rungwe na kuchangamsha uchumi wa rungwe. Tulia nkamu gwangu go ahead. Tulia pia Ana promote utalii nyanda za juu kusini. Shirika la utalii wawepo kwenye hilo tamasha wasikose waende na vipeperushi na wawe na banda lao kupromote utalii nyanda za juu kusini na wachangie gharama. Mashirika ya ndege yaendayo mbeya wapromote hilo tamasha pia watapata abiria kibao wa kuwapeleka kwenye hilo tamasha wasilale counter kusubiri abiria watangaze hata kwa mic kuwa kuna tamasha waombe viperushi vya hilo tamasha wagawie abiria au waweke kwenye seat zao. Vipeperushi viwe kwa kiswahili kingereza,kijerumani na kifaranza kitaliano na kichina. Kipeperushi kimoja kiwe na lugha zote. Pia website za mashirika Ya ndege yaendayo mbeya watangaze hiyo event kwenye website zao.kupromote increase Ya customers wapya. Wawinde customer wa kwenda tamasha .they can create new customers. Tulia kawapa mchongo wajiongeze waongeze customer base. Hata wenye mabasi yaendayo mbeya watangaze hilo tamasha
 
Hatapewa ubunge ila atajichukulia mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…