Dr. Slaah, shetani, sisiem au polisy kipi hukipendi zaidi kwa sasa

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,223
7,993
Binafsi nimejikuta nimekata tamaa kiasi kwamba nikiambiwa nichague nisichokipenda zaidi, kila jibu limetokea kuwa ni Dr. Slaah. Kati ya shetani na Dr. Slaah nimejikuta namchukia zaidi Dr. Slaah. Kati ya polisy na Dr. Slaah jibu likawa namchukia zaidi Dr. Slaah. Majibu kama hayo yalitokea pia nilivyompima Dr. Slaah na sisiem. je wewe majibu yakoje ndugu yangu?
 
Msemakweli ukamchukia? Dr Slaa sio mnafiki wala mganga njaa. Niliipenda sana CHADEMA (fatilia comments zangu zote za nyuma) ila sasa naogopa kama ukoma. Si kwa kuwa CCM ni bora zaidi hasha, bali kwa sababu CHADEMA ni matapeli wa kisiasa ambao hawastahili kuaminiwa kusimamia dola. CHADEMA wana bei, wananunulika. CCM ni sawa na zimwi likujualo. Tutaenenda nayo mpaka tutakapopata upinzani wa kweli.

Heshima kwako Dr. Slaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom