Dr slaaa kupewa uwaziri...

Chadema siyo tawi la CCM kama ilivyo CUF, Chadema inasimamia mabadiliko ya mfumo mzima wa utawala katika nchi yetu na kamwe siyo kugawana madaraka katika mfumo dhalimu kama uliopo chini ya Chama Cha Mafisadi.To hell with such stupid idea.
 
Ukiyasoma maneno ya mwenye thread neno kwa neno, utaona kuwa kaamua kuongeza posts tu!

Halafu kama vile mbea fulani! Na kama vipi Invsbl. Mchomoe kimtindo anatuletea wenge la wanamcharuko wa uswazi tuandikeni mambo ya maana na yenye kujenga jamii zetu.
 
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:

kwa katiba ipi? soma vizuri katiba ya tanzania!
 
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:

Joi, Mambo? Unatudanganya watu wazima? Kwa katiba ipi?
 
Post ya Ukatibu mkuu Chadema ni kubwa kuliko ya uwaziri kwa hiyo akikubali atakuwa ameji demote
 
thubutuuuuu ajalibu kama wana CCM wenzake hawajapigana vikumbo na hata huko ikuli sijui kama kuna mtu ataenda,, weee thubutuuu ampe tu!!!
 
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:
hiziiiii ni bange!!!!!!!!!
 
That can not be true, lets wait and see, it may be a hear say but if it is true namshauri Slaa asikubali kuchakachuliwa!
 
Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:

Nasikitika unamwita hicho kilaza Kikwete Dokta. Huna lolote usituchanganyie habari hapa. Mkwere hawezi kumpa Slaa uwaziri na hata akimpa cjui kama atakubali hiyo nafasi vinginevo ikiwa kama ataitumia kama strategy ya kisiasa.
 
Acheni kuandika mambo ya uongo,uzushi humu ndani kama huna cha kuandika bora ukae kimya tu
 
Dr alishaeleza kutokuridhishwa kwake na matokeo kwa maana hiyo kwa vyovyote vile hawezi kushiriki katika serekali anayopinga njia ilizotumia kuingia ikulu.
 
Huyu dada cjui kibibi Joisi Pori anafikiri hapa ni kichaka cha vilaza kama forum za wachakachuaji. Hapa ni HOME OF GREAT THINKERS. Hayo mawazo yako ya mbayuwayu kamuulize mbayuwayu wanzako huko CCM aka Chaka Chua Matokeo.
Nonesense
 
Joyce kama hauna cha kufanya please send me your mobile no or private email ID ntakupa kazi ya kufanya

Atamuingiza mpinzani ktk serikali yake kwa utaratibu gani?
 
Itakuwa vyema sana na nina amini wizara yake itafanya vizuri. Hii ni kwa sababu wabunge wengi wa ccm watamkamia na kumfanyia jazba kuhoji utendaji wake na usimamizi. Hii italeta changamoto kwa wizara nyingine pia. Kuhusu nafasi yake kisiasa natumai kuwa Dr. Slaa atapata fursa nzuri ya kufika maeneo mengi na hapo ndio utendaji wa chadema specifically Dr. Slaa utakapo msaidia. Kama mtanzania wa kawaida ningependa Dr. awe waziri.
 
Back
Top Bottom