Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,023
- 144,381
'kumpoteza huyu kijana' is that a threat?
acha uongo kijana hiyo itv ya kwako pekeyako au
Who the hell is to even be a threat anyway?
katibu mkuu wa chadema,dr.slaa amesema zitto anaweza kufukuzwa kabisa na amewaonyo wafuasi wake waache kutumika kwa kusainishwa document fake, "nawaonya mnaomshauri mnaweza kumpoteza huyu kijana",alisema dr.slaa.
Chanzo:itv
acha uongo kijana hiyo itv ya kwako pekeyako au
You cant stand him? why?
afukuzwe tu huyu ndondocha kazidi sana haheshimu chama chake wala viongozi wake hivi hawaoni kina mwingulu mchemba na ugonjwa wake wa akili lakini anaheshimu chama chalke na viongozi wake japokuwa ni wango'a kucha na meno ya waandishi wa habaari na ma dr ambao wanataka nchi iwe na uhakika wa wagonjwa na kuwe na vitu ambavyo vinakizi mahitaji kwenye mahospital.sasa kwa zitto zuberi kabwe hakuna la zaidi afukuzwe tu na atafukuzwa tu kama mtabisha basi tieni pesa.huyu jamaa kapoteza channel kwa kwenda kwa kuamini wale ma dr wa tunguli na ndio wanaomharibia kila uchao mkumbuke wale wachawi hawawezi kufanya mambo mazuri hata siku moja kwa wao wenyewe hali mbaya sasa watakufanyiaje wewe uwe kamili kado.wao wanaweza kuharibu tu na si kutengeneza.
hata mimi nimemsikia dr slaa kwa masikio yangu kupitia itv ya dr mengi. Zitto anaponzwa na mtandao wake ambao pengine anaujua au haujui pia kwa sababu ya u much know wake.