Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Tunamkaribisha sana
Safari njema Rais mtarajiwa. Ukirudi karibu sana Bukoba vijijini uwaamshe waliolala!!
Haha..umeshindwa tuu tambua ....Ni Kwamba Mapadrini wengi ila watu wenye kuweza ongoza TZ hakuna.Sijui mmelaaniwa nyie ....mmetoa sana albino na kula viapo kuzimu,huku mkila minyama iliyochinjwa kwa roho za mungu wa kutumikisha mandondosha na kuiba nyota za wengine.Siku zote mtapishana na vyema.#alfred Daud Pigangoma Mtu mwingine yeyote anaweza kuwa rais wangu, isipokuwa Dr. slaa! Upadri ulimshinda....urais Ndo ataweza.....he will never be a president...
Teh teh teh!
Ukiiona ofisi ya CHADEMA Ya Ohio utafkiri vile vioski vya wachaga vya kuuzia Vocha huko Bongo!
Halafu jamaa wote wanaoshinda hapo Hawana Kibarua chochote.
Ni kupuliza ganja Na Kupiga mizinga washkaji tu mchana kutwa.
Hivi CDM maskini Namna hii? Na Yale mapesa waliopewa na yule Mdosi huko Bongo yamepelekwa wapi?
Au Zimeenda kuboresha Mashamba ya Vitimoto huko Rombo?
Cc Ritz
Dr. slaa jana alianza ziara ya siku 9 chini marekani ambako amealikwa na Gavana wa jimbo la Indiana.
Akiwa huko Dr. slaa atakutana pia na maprofesa mbali mbali na kutoa mihadhara mbalimbali kuhusu maswala ya uwekezaji, uchumi nk. pia Dr. slaa atakutana na viongozi mbali mbali waserikali ya marekani.
Hongera sana Dr. Slaa...
haha..ungejua usemalo pengine ungebadilika sana.Siku nilishtuka hadi nikapaliwa na bia ni mpuuzi km wewe alipotoa comment wakati akiwa chini ya ulinzi bila jijua.Teh teh teh! Ukiiona ofisi ya CHADEMA Ya Ohio utafkiri vile vioski vya wachaga vya kuuzia Vocha huko Bongo! Halafu jamaa wote wanaoshinda hapo Hawana Kibarua chochote. Ni kupuliza ganja Na Kupiga mizinga washkaji tu mchana kutwa. Hivi CDM maskini Namna hii? Na Yale mapesa waliopewa na yule Mdosi huko Bongo yamepelekwa wapi? Au Zimeenda kuboresha Mashamba ya Vitimoto huko Rombo? Cc Ritz
Rais wetu mtarajiwa safari njema, Kwa sasa ninajua macho yote duniani yanakuangalia wewe kama next president wa Tanzania
Haha..wenzio wanashtuka san ukisema hivyo...wanahisi kupoteza John Mpiga Ramli mwingine...Rais Wa watu Dr. Slaa Mungu amlinde na hatari zozote za roho na mwili dhidi ya majizi yote ya CCM aingie ikulu Oct.
Utajibeba hama nchi kama unaweza dr slaa ndio mpango mzima kama ulifikiri vingine ndio baaasi tenaa.
Dr. Tunakuhitaji na tunakuamini.Dr. Slaa jana alianza ziara ya siku 9 chini Marekani ambako amealikwa na Gavana wa jimbo la Indiana.
Akiwa huko Dr. Slaa atakutana pia na maprofesa mbali mbali na kutoa mihadhara mbalimbali kuhusu masuala ya uwekezaji, uchumi nk. pia Dr. slaa atakutana na viongozi mbali mbali wa serikali ya Marekani.
Hongera sana Dr. Slaa...
Dr. Slaa jana alianza ziara ya siku 9 chini Marekani ambako amealikwa na Gavana wa jimbo la Indiana.
Akiwa huko Dr. Slaa atakutana pia na maprofesa mbali mbali na kutoa mihadhara mbalimbali kuhusu masuala ya uwekezaji, uchumi nk. pia Dr. slaa atakutana na viongozi mbali mbali wa serikali ya Marekani.
Hongera sana Dr. Slaa...
haha..ungejua usemalo pengine ungebadilika sana.Siku nilishtuka hadi nikapaliwa na bia ni mpuuzi km wewe alipotoa comment wakati akiwa chini ya ulinzi bila jijua.
siyo.........Mnywa gongo unaota kuwa iko siku mimi ntawekwa Chini ya Ulinzi wakati wewe unakunywa bia au sio? Halafu tukisema Gongo inawehusha mnakuwa wakali.
Sijawahi kuona Muhaya Mwana CHADEMA.
We lzm utakuwa MKEREWE uliezamia.
sijakupata embu acha kupanic shida ni nini hapa..upo mzima kweli..unaongea kama mtu aliyekata tamaaWe mkimbizi nani amekupa uwezo wa Kukaribisha?
Chumba kimoja mko 9!
Viatu mlangoni ka mko msibani!
Umkaribishe wapi sasa wakati Sebule yenyewe mnachangia na Wanigeria 18 nyumba vyumba vitatu!
Teh teh teh teh!