Dr. Slaa ziarani Marekani

Safari njema kwa President. Mungu na ampe afya njema kwenye uwajibikaji wake uliotukuka. Salamu zetu nyingi kwa First Lady wetu Josephine. Nendeni salama na mrudi salama kwaajili ya kuanza kuwatumia Watanzania ipasavyo hiyo October 2015.
 
#alfred Daud Pigangoma
Mtu mwingine yeyote anaweza kuwa rais wangu, isipokuwa Dr. slaa!

Upadri ulimshinda....urais Ndo ataweza.....he will never be a president...
 
Kweli aisee rais mtarajiwa akiongea huwa nakuwa makini kumsiliza hatua kwa hatua nukta kama ilvyo kwa Mwl J.K.Nyerere apumzike kwa amani ila brazaaaa akiongea wallah huwa siwezagi kumsikiliza.
 
#alfred Daud Pigangoma
Mtu mwingine yeyote anaweza kuwa rais wangu, isipokuwa Dr. slaa!

Upadri ulimshinda....urais Ndo ataweza.....he will never be a president...

Utajibeba hama nchi kama unaweza dr slaa ndio mpango mzima kama ulifikiri vingine ndio baaasi tenaa.
 
Dr mungu akulinde na mabaya ya wendawazimu anaesema babu angalia mzee wa u alivyopinda mgongo bado anatafutiwa fimbo ya kutembelea sijuibabu ni Dr Au aliepinda mgongo tusubiri
 
Wamarekani wanaajua wanachokifanya.Kila la heri Dr
 
Nenda utumie rudhuku za Chama maana cha kuzifanyia nchini hakipo.
 
Wana ccm wataongea mengi ila la kuzingatia ni kwamba, chadema inakubalika internationally. Sijawahi sikia ccm wamealikwa marekani zaidi ya vikada vyao kujipeleka. Hahahaha. Wazungu wanaona ule mzigo chadema wanauchapa pale bungeni.
 
Chadema siyo Ccm ziara zote Kinana, sisi tuko site tunapiga mzigo. Tunampa nafasi Dr kufikiria jinsi ya kuongoza nchi ilyoharibiwa na magamba kila sekta!

Kuongoza tz au ndoto
 
Teh teh teh!
Ukiiona ofisi ya CHADEMA Ya Ohio utafkiri vile vioski vya wachaga vya kuuzia Vocha huko Bongo!
Halafu jamaa wote wanaoshinda hapo Hawana Kibarua chochote.
Ni kupuliza ganja Na Kupiga mizinga washkaji tu mchana kutwa.

Hivi CDM maskini Namna hii? Na Yale mapesa waliopewa na yule Mdosi huko Bongo yamepelekwa wapi?

Au Zimeenda kuboresha Mashamba ya Vitimoto huko Rombo?

Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Safari njema kwa President. Mungu na ampe afya njema kwenye uwajibikaji wake uliotukuka. Salamu zetu nyingi kwa First Lady wetu Josephine. Nendeni salama na mrudi salama kwaajili ya kuanza kuwatumia Watanzania ipasavyo hiyo October 2015.

Teh teh teh!
Mbege za mchana Mbaya sana.

President wa Netball au wa Kishumundu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…