Dr Slaa Vs Lowassa

ili wake zetu wabaki salama, Rais atakuwa ni EDWARD LOWASA
 
Dr Slaa atosha,ukoo wa panya wa nini?
 

Hii ngoma hata ukienda facebook ni Dr.Slaa ndio kinara kwahiyo madai kuw JF imetawaliwa na pro-CHADEMA ndio maana Dr.anaongoza hayana msingi katika hii poll.
 

Wote hawafai....
 
Hili suali tunahitaji jf kupitia kwa Maxence Mello aitishe press atoe matokeo yenye majibu ya kura ya maoni iliyoendeshwa humu na wadau juu ya wanasiasa hawa.

Ama kwa kuwa DR SLAA ALISHINDA NDO HAMTANGAZI?
 
Mods mjulisheni Zitto, kuwa Dr.Slaa sio mtu tena ni taasisi yeye heshima kimataifa. Na wapambe wooooote mpeni taarifa hii ''Yuda'' wenu
Mods mjulisheni Zitto, kuwa Dr.Slaa sio mtu tena ni taasisi yeye heshima kimataifa. Na wapambe wooooote mpeni taarifa hii ''Yuda'' wenu

siku zinakwenda kwa kasi sana na wewe ulibadilishia gia angani hahaaaaa
 
Ni ujinga wa kiwango cha juu, kumlinganisha Dr Slaa na huyo Babu yenu, yaani huku ni kumdhihaki Dr kumlinganisha na mtu mwenye kila aina ya tuhuma, Muacheni Dr apumzike.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hizi nyuzi za zamani naona members wengi hawako active! watakuwa walibadili majina baada kuona mambo yamebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…