Ndugu zangu, EL ndani ya CCM hakuna wa kumweza. Mhe. JK analijua na kila mmoja ndani na nje ya CCM analijua hilo. Ebu kwa muda wako, jaribu kufanya utafiti hata kwa watu, sijajua huyu Bwana anatumia mbinu zipi🙂. Polepole, jamaa pamoja na kelele za akina Kaka Nape, anazidi kupanda chati...Come 2015, EL hata kamatika na kwa vyovyote ataukwaa URAIS. If you can not defeat them, simply join them!