Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,966
Mimi nadha aliyeandika ame-misspelling, au nami nikiri kutomuelewa Dr. katika wazo lake hilo. Je, ni Zanzibar Revolution (1964), au ni Zanzibar Resolution (1984)....? Kama ni Zanzibar Resolution, naungana na kwa zaidi ya 100%, lakini namsihi achukue hatua stahiki juu ya hilo, mimi na wewe tuwe tayari kuwa nyuma yake! Dr. Slaa, huwezi kushuhudia ustawi wa watanzania hata upigane kiasi gani, ila furaha ya mapigano yako, na iwe juu ya mtoto wako aliyezaliwa juzi kati hapo! Hautosahaulika, na utaishi hata baada ya kifo chako.
You are right! I thinks he wanted to put it "resolution". Dr please, mwenye mawasiliano naye amwambie asahihishe au atoe ufafanuzi maana kama ni revolution ni ya kwao na haina anything to do with corruption whatsoever.