Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

Wakati Dr Slaa akikubalika sana kisiasa, kwenye ziara zake alikuwa anatembea na gari maalum la matangazo ambalo lina jukwaa juu ili aweze kuona maelfu ya wafuasi wake. Kwa sasa hahitaji hata gari maana akisimama tu anaona kila mtu. Mpaka waliosimama nyuma kabisa anaweza kuwaona

Huyu mtu amechokwa mno
 
This is a stupid, baadaye mtaendeleza ujinga huu na kusema na cocaine na heroine navyo pia vitatafutiwa namna nzuri ya kuvitengeneza. Ulevi noma.
images
images
images
images
images
tumblr_mjizrl4rvk1r5j928o1_500.jpg

Mambo ya ufipa haya.
 
Siunajuwa Makamanda wameamua kuweka Akili mfukoni na kuwa Makasuku wanapenda kuongea yale yanayowapendezesha Slaa na Mbowe,we leo mtu kama Lisu ameingia katika ujinga huu!ukiongea tofauti na wanachotaka kusikia mbowe na Slaa....unaitwa Msaliti!Usaliti si upo katika Ndoa
#Mbowe na Slaa wanafanya Biashara Siasa:Zitto anafanya Siasa Jamii#
 
haiwezakani mtu kutamuka abariki gongo halafu anakuja kuwaomba kura. kumusikiliza utakuwa niuendawazimu.hiyo ni chadema.haiwezakani kufika popote mtu kutumia ndenge tano kuzungukia kata moja. huo niwedawazimu chadema. chadema kama kweli unauchungu na watanzania acha kuwashauli kunywa gongo.chadema acha kuwahadaa watanzania kuwa unawatetea huku uliruka na denge tano kwenda kuwaomba kura wananchi wa kata moja chadema hapo unatakiwa ujiulize Mara mbili mbili.chadema sisi watanzania safari tulishaiaza na ccm muda mulefu uliopita ccm. huyee
 
Umekosa ugoro muda mrefu ehe..?kaulize kdo ya viroba,konyagi na the type ni kiasi gani....na wewe unatumia kiasi gani cha hiyo kodi...?
 
haiwezakani mtu kutamuka abariki gongo halafu anakuja kuwaomba kura. kumusikiliza utakuwa niuendawazimu.hiyo ni chadema.haiwezakani kufika popote mtu kutumia ndenge tano kuzungukia kata moja. huo niwedawazimu chadema. chadema kama kweli unauchungu na watanzania acha kuwashauli kunywa gongo.chadema acha kuwahadaa watanzania kuwa unawatetea huku uliruka na denge tano kwenda kuwaomba kura wananchi wa kata moja chadema hapo unatakiwa ujiulize Mara mbili mbili.chadema sisi watanzania safari tulishaiaza na ccm muda mulefu uliopita ccm. huyee

Wewe ushajikatia tamaa ya maisha naona unajitekenya mwenyewe kupunguza stress!
 
haiwezakani mtu kutamuka abariki gongo halafu anakuja kuwaomba kura. kumusikiliza utakuwa niuendawazimu.hiyo ni chadema.haiwezakani kufika popote mtu kutumia ndenge tano kuzungukia kata moja. huo niwedawazimu chadema. chadema kama kweli unauchungu na watanzania acha kuwashauli kunywa gongo.chadema acha kuwahadaa watanzania kuwa unawatetea huku uliruka na denge tano kwenda kuwaomba kura wananchi wa kata moja chadema hapo unatakiwa ujiulize Mara mbili mbili.chadema sisi watanzania safari tulishaiaza na ccm muda mulefu uliopita ccm. huyee

Huyeee
 
Point well taken, dude!!
 
Nimekumbuka mbali sana. Dr. Slaa alivyosema hivi watu wakambeza sana.
Soma tena huu uzi linganisha na ule ulioanza leo ndio utajua binadamu tulivyo. Waliounga mkono wengi leo kimya na walioponda leo engi pia wako kimya. Kisa alietoa wazola kwanza ni mwana CDM wakati huo na leo ameachana na CDM, na anaefagilia wazo safari hii ni waziri wa CCM akiungwa mkono na spika.Ni wachache sana wataendelea na msimamo waliokuwa nao mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom