Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

Tayari ameshapuuzwa na hakuna anaeyemjadili.
Nyie ndio nnaotengeneza maandamano yenu fake mnamjadili kama vile nyie ni chadema
 
Mbona na nyie daily lowasa tu na hampgii kampeni pombe maguful
 
Huwezi kukosa kumjadili jambazi aliye kuvamia kisa hajafanikiwa.Mjadala unalenga kujua baada ya kushindwa plan A atafanya nini?
Slaa jawachimeka msumali kubaya s umeona jamaa walivyikurupuka kila na njia yake
 
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?

Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?

Kama lowasa ni fisadi na mnajua fika hawezi kushinda ni kwanini kut wa kucha na kuna wengine usingizi wao ni wa mang'amu ng'amu kila wakiamka ni lowasaa mnalo bahati ya mwezio usiilalie mlango wazi utamaliza mwaka hujaufunga mlango.
 
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?

Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?

Ndo nawe uulizwe wewe kwanini CCM mnahaha na Lowasa kila siku mnamuanzishia thread za kutosha.Mtu mmoja anaweza anzisha threads hata kumi tatizo nini?
 
Kila siku hatuja kamilisha ushahidi hatuja kamilisha ushahidi.... Nini nyie, sisi ndio wana mabadiliko na Elly Ngoyai ndio kiongozi wetu,
 
Inajadiliwa kwa kuwa oungo ukirudiwarudiwa mara nyingi mwishowe hufanana na ukweli!
 
mbona kama vile na nyinyi mnajisahau...kama lowassa ni fisadi na kapi ingependeza kuachana nae kuliko kumuandama kiasi hicho wakati mnajua wazi ameleta pengo na mtikisiko kwenye chama chenu ndo maana mnahaha tu na kujifanya eti waliokuwa maadui zenu wapinzan ghafla wamegeuka kuwa marafiki na kuwaamini wanayowaambia....!
 
Eti oil chafu lakini mnatumia mabii ya mkwanja kuichafua oil chafu Hahaha akili za mbuni...
Tukutane Oct 25 mlalo wa mende jike kama Kawaida
 
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?

Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?

Waswhili wanasema kukaa kimya ni kukubali hata mahakamani kama unapigwa madongo ya kukukandamiza wakati wewe ndio mhusika mkuu kwa maana ya mshitakiwa na ukikaa kimya hakimu aka mwamuzi atakupiga miaka.

Ulitaka CDM na wanaounga UKAWA wake kimya ? hilo halitowezekana ,kizee kimegonga CDM na ukawa na hakikuishia hapo kikaendelea kusema huku kikirusha mate mpaka kwa lowasa ,so watu wakae kimya ?

Ameelekeza kidole kwa UKAWA kinachofuata ni vidole vingi kumuelekea yeye.na sasa harushiwi madongo anapigwa mawe Lowasa na UKAWA wanakata mbuga na kama kupuuzwa nadhani Lowasa amempuuza Slaa ,.Mika 50 imetosha tafuteni kazi ya kupara miwa mkinywa maji yake.
 
CCM jitahidini kumnadi mgombea wenu kuliko kung'ang'ania slaa aandaliwe mikutano....jamaa mwenyewe mnayemwandama wala hawajibu chochote subirini siku akiamua kujibu kama hatawafunga viongozi wenu....kumtusi na kumwandama mtu ni kufilisika hoja.....!
 
Na muendelezo wa rose kamili nao umechangia laa upepo wa slaa ungeshapita
 
Kaulize huko tbc urafiki wa ghafla na slaa umeanzia wapi?
Watu hatujadili athari za maelezo ya slaa kupitia vyombo vya habari bali uadilifu wake na nia yake kwa wanyonge wa nchi hii.
Tunaangalia tabia yake ya ubinafsi na maamuzi yake ya pupa kama kiongozi.
Tunasikitika alivyomtelekeza mke halali wa ndoa na watoto na kujikita kwa.'nasikia kimada'
Tunajaribu kuangalia maisha ya kawaida-binafsi na mahusiano na uongozi katika jamii kwa ujumla wake.
 
mngekuwa vijana makini huu ndo ulikuwa mda wenu kujenga hoja na kuzinadi sera za mgombea wenu magufuli...cha ajabu matusi na tuhuma havijengi mwishowe mtajikuta mnajitusi wenyewe nafsini mwenu...sitaki kuamin kuwa wana ccm wamesahau kuhusu escrow ambapo wanajifanya hawaoni watuhumiwa wao ndo wagombea ubunge....yaan matusi yangekuwa yanaua kamanda lowassa asingekuwepo leo coz wanaccm mpaka usingizini wanaota wakimtusi jamaa....leteni hoja za kukijenga chama chenu sio mitusi mitusi tu ambayo inaharibu IQ zenu....!
 
Dr. wa ukweehe! Hoja zake zimebaki solid na unbeatable mpaka kesho mpaka mikutano ya ukawa inachungulia shimo huko mikoani
 
Lowassa kawaibia nini? chuki ikizidi hupunguza logical reasoning...mtazidi kutusi mpaka mtachoka cha ajabu hata mkuu wa nchi anawashangaa maana yeye ndo anajua kila kitu wala hasemi chochote....mkitaka kujua kwa nini jamaa hapelekwi mahakamani muulizeni rais atawapa jibu...huu ni muda wa kampen wanaccm so mjitahidi kuleta hoja za kukipa ushindi chama chenu sio mitusi na tuhuma ambazo hamnda data nazo.....!
 
Akamkomboe mkewe na watoto aliowatelekeza

Ni wapi ilitokea mwanamke akaachwa na mme akaweza kumsema kwa mazuri? na mambo ya familia yanaingiaje kwenye siasa? na kama anadai kitu kwa Dr. Slaa kwanini asiende mahakamani akadai fidia?
 
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?

Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?
Tunachojadili ni kwanini Dr. Slaa ameshindwa kumbomoa Lowassa? kama una jibu lake tuambie ili tuache kumjadili.
 
Mgana msindai ndani na sumaye ndiye atamchagua awe waziri mkuu wake chezea kununuliwa wewe
Hebu fanya busara kidogo. Ili mtu awe Waziri Mkuu shurti awe mbunge wa kutokana na jimbo. Sasa hawa wanagombea majimbo gani?
 
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?

Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?

Kama kituko kikitokea lazima watu mjadili. Slaa amekuwa kituko tangia alivyovaa gamba
 
Back
Top Bottom