Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

Mgana msindai ndani na sumaye ndiye atamchagua awe waziri mkuu wake chezea kununuliwa wewe
 
Huyo alitaka uaskofu kakosa, ndiyo akaacha upadre, kaomba ubunge ccm kakosa kahamia chadema , , ,kataka mke kakosa kapata mchumba, kataka urais kakosa kakosa kawa kibaraka wa ....ana ubinafsi mkubwa sana.
 
kwa mtu mwenye maslahi binafsi atapenda kuendelea na hiki chama ambacho akija deliver.kuna watanzania wala mlo moja, hapana hata Mungu hapendi, hofu ya mungu imeisha.
 
Watu wametiwa upofu na neno mabadiliko hata hawayaon aliyosema Dk, ni hatari kufanya maamuzi ukiwa kwenye mihemko na hasira. After the October election a lot of people will loose faith on their party leaders sijui wataficha wapi nyuso zao na lile kundi linalomuuunga mkono Dk wako kimya kuogopa kubandikwa nembo ya wasaliti litajitokeza na hapo wataanza kuyakumbuka maneno mazuri ya Dk. Say no to EL, nchi hii hatukuuzii
 
wengine tulishampuuza siku nyingi na nina imani hata mawe yamempuuza. kama unamwona wa maana chukua peleka nyumbani kwako. yaani mpaka mnalazimisha mnalipa vijana wenu ili waandame ionekane slaa ana watu lakini sio wanachadema? slaa ni mwepesi na mweupe kama karatasi iliyotoka kiwandani

Duuh,una ujasiri wa kishetani
 
Kwani wewe na CCM hamna jambo lingine la kujadili ama agenda yenu ni kubomoa tu upinzani? Kwani nchi mmeinunua ama? Mtatumika sana kuhujumu na mwishowe mtajihujumu wenyewe ila mwaka wa mabadiliko ni huu!
 
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?

Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?
kuna maufisadi makubwa zaidi ya kumi na most recently escrow ,mabehewa feki ,mbona kimya pesa za kwenye sandarusi. ..nakuheshimu kwa kuwa ni mtanzania otherwise ningekutukana.amka kifikra au badilisheni santuri hiyo ya Richmond zilipendwa ..naogopa kutukana kuna watoto (msaga sumu voice )
 
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?

Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?

Silaa kashika watu pabaya.
Afu waliokurupuka kumjibu anawapangua mmoja baada ya mwingine.
 
Nashauri aandaliwe mkutano ktk majiji ma4 ili atuage na sie wananchi aje atueleze moja kwa moja sie wananchi kwani wengine hawana Tv,radio na hawanunuagi magazeti. Naomba Dr Slaa uandaliwe mkutano Mwanza,Mbeya,Arusha na kisha Dar.
 
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?

Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?

Huwezi kukosa kumjadili jambazi aliye kuvamia kisa hajafanikiwa.Mjadala unalenga kujua baada ya kushindwa plan A atafanya nini?
 
Nashauri aandaliwe mkutano ktk majiji ma4 ili atuage na sie wananchi aje atueleze moja kwa moja sie wananchi kwani wengine hawana Tv,radio na hawanunuagi magazeti. Naomba Dr Slaa uandaliwe mkutano Mwanza,Mbeya,Arusha na kisha Dar.
Miaka nane iliyopita ulikuwa bado haujazaliwa? Kwa maana hakuna jipya aliloliongea ambalo halikujadiliwa kwenye Bunge, yote aliyoongea yalisomwa na mwakyembe Bungeni
 
Lowassa ni jembe sana MTU mmoja anawakosesha usingizi watu zaidi ya mia moja alafu yeye hana time na waimba taarabu anasonga mbele tu, sijui ana tabia ya kizungu au vipi yani nashindwa kumuelewa kabisa huyu rais mtarajiwa. Duuuh.
 
Back
Top Bottom