DR SLAA: Siwezi kusheherekea Siku ya Uhuru na Mafisadi

Nini maoni yako?

Dr ametoa kauli kua sababu ya kutoonekana katika sherehe za maadhimisho ya uhuru wa Tanzania bara kuwa ni "Kupinga kusheherekea siku hii na mafisadi."

Kwa ujumla Dr Slaa ameonesha kukerwa na MABILIONI YA SHILINGI yanayoteketezwa na serikali kuandaa na kusheherekea siku hii ilihali wananchi wanataabika kwa kukosa huduma muhimu ambazo ndio maana ya uhuru wao, kwa mfano maji safi, elimu bora na makazi bora.

Kwamba MABILIONI hayo yangekua na maana zaidi kama yangetumika kutatua kero hizi kwa manufaa ya Watanzania wote,

SOURCE:- RAIA MWEMA 11/12/2014.

DR SLAA HAMUNG'UNYI MANENO , NAMUUNGA MKONO , huwezI KUSHIRIKIANA NA WALIOIKATAA NCHI YAO TANGANYIKA , UNASHEREHEKEA UHURU WA NCHI GANI ?
 
Ondoa ID ya simiyu yetu si wote wanaofikiri pumba kama hizo kukataaa ukweli na kujenga propaganda ili roho ikijua ukweli siamini kama simiyu yenu mko hv
 
Nini maoni yako?

Dr ametoa kauli kua sababu ya kutoonekana katika sherehe za maadhimisho ya uhuru wa Tanzania bara kuwa ni "Kupinga kusheherekea siku hii na mafisadi."

Kwa ujumla Dr Slaa ameonesha kukerwa na MABILIONI YA SHILINGI yanayoteketezwa na serikali kuandaa na kusheherekea siku hii ilihali wananchi wanataabika kwa kukosa huduma muhimu ambazo ndio maana ya uhuru wao, kwa mfano maji safi, elimu bora na makazi bora.

Kwamba MABILIONI hayo yangekua na maana zaidi kama yangetumika kutatua kero hizi kwa manufaa ya Watanzania wote,

SOURCE:- RAIA MWEMA 11/12/2014.

Hivi kuna nchi ya Tanzania bara ilipata Uhuru wake tarehe 9 Dec.?!
 
Ndivyo tunavyoaminishwa na watawala wetu Mkuu!

KUTAMKA NENO TANGANYIKA NCHI HII UNAONEKANA MWENDAWAZIMU...!

Pole sana TANGANYIKA
 
Dr.w.slaa kaongea haki kabisa kwamba haifai mtu msafi kusherehekea sherehe za uhuru na mafisadi lakini usafi wa dr uwapi? Huyu si ndio yule alijipigisha pesa ya ruzuku ya chama na dem wake Mshumbusi? Shetani hanaga nafasi ya kumshauri shetani mwenzie.
 
Hana lolote bana nawaonea huruma wajukuu wake sijui kama kweli hiyo ndo sababu si angeshwrekea na familia yake au hata na kijijini kwake
 
Ruzuku ya Chadema Dr. Slaa ameitumia kumjengea nyumba Josefin[/QUOTE

Wewe nahisi si binadamu wa kawaida, hauna tofauti na constebo Isabella wa filamu ya sarafina. Kutwa nzima kulamba viatu vya mafisadi, aibuuu!
 
UZEE NAO NI UGONJWA..
Haswa uzee wenyewe ukiwa umeambatana na tamaa za ngono. Slaa hawezi kusherehekea uhuru wakati yeye mwenyewe yuko katika kifungo haramu chini ya jela ya mapenzi iitwayo JOSEPHINE
 
Nini maoni yako?

Dr ametoa kauli kua sababu ya kutoonekana katika sherehe za maadhimisho ya uhuru wa Tanzania bara kuwa ni "Kupinga kusheherekea siku hii na mafisadi."

Kwa ujumla Dr Slaa ameonesha kukerwa na MABILIONI YA SHILINGI yanayoteketezwa na serikali kuandaa na kusheherekea siku hii ilihali wananchi wanataabika kwa kukosa huduma muhimu ambazo ndio maana ya uhuru wao, kwa mfano maji safi, elimu bora na makazi bora.

Kwamba MABILIONI hayo yangekua na maana zaidi kama yangetumika kutatua kero hizi kwa manufaa ya Watanzania wote,

SOURCE:- RAIA MWEMA 11/12/2014.

9 Disemba ni uhuru wa TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom