Nini maoni yako?
Dr ametoa kauli kua sababu ya kutoonekana katika sherehe za maadhimisho ya uhuru wa Tanzania bara kuwa ni "Kupinga kusheherekea siku hii na mafisadi."
Kwa ujumla Dr Slaa ameonesha kukerwa na MABILIONI YA SHILINGI yanayoteketezwa na serikali kuandaa na kusheherekea siku hii ilihali wananchi wanataabika kwa kukosa huduma muhimu ambazo ndio maana ya uhuru wao, kwa mfano maji safi, elimu bora na makazi bora.
Kwamba MABILIONI hayo yangekua na maana zaidi kama yangetumika kutatua kero hizi kwa manufaa ya Watanzania wote,
SOURCE:- RAIA MWEMA 11/12/2014.