Uungwana ni vitendo, hata mwanzo hakutaka allitikia mwito wa chama chake. Ritz hebu kua kidogo.Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
kikwete hawezi kutamka haya maneno,anajua 2010 aliiba kura,akisikia jina slaa kifafa kinampanda anaanguka jukwaani....
Sizitaki mbichi hizi ...Ndivyo anavyoonekana kuwaza Dr.Slaa.
Slaa hataki posho za ubunge. Kwake yeye ni Tanzania kwanza mengine baadaeameona kazikosa pesa nyingi za posho za bunge mpaka la katiba anajuuuuuuta
Mshaurini atafute jiko kwanza.Slaa halazimishi uongozi. Slaa analazimishwa na wananchi kugombea. Hata 2010 Slaa alikuwa Karatuuuu anakula kitimoto umati wa watanzania ukaenda kumwomba agombee. Hana presha Slaa. Na ndio tabia ya wenye akili nyingi,tabia za watu wenye upeo mkali sana. Tabia za mwerevu hizo. Slaa hataki madaraka, sisi tunaompenda tunataka atake madaraka
nani kakwambia za ubunge hazikuibiwa,mlikimbia na masanduku ya kura na sehemu nyingine mmeua watu na kutangaza washindi kwa nguvu,sehemu mlizokubali kushindwa ni zile ambazo nguvu ya umma ilishinikiza mkaona hamna jinsi mkakubali yaishe....Kikwete aliiba kura za urais na ubunge? Mbona mliambulia wabunge 23 tu? hata Slaa angeshinda urais angewezaje ku-survive na wabunge 23? Uongo mwingine hata haufanani na ukweli.
Hata hivyo siyo yeye anayeamua kugombea,bali ni watu
wanampendekeza,huyu Dk ana akili za kuzaliwa,wengine
hawaoni hizi akili kubwa,wamebaki kwenye akili ndogo.
Tanzania hatutaendelea kama tutaendelea na siasa za aina
hii nyepesi nyepesi watu wanachukua mali sisi tunabaki
kuwatetea.hii ajabu kabisa ya Dunia.