Dr. Slaa si mwisho wa misa kwa Wakatoliki

gimanini

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,741
1,754
Mbunge Wa Musoma Mjini Na Mwenyekiti Wa CHADEMA mkoa wa MARA amewambia wana tarime kuwa wasiwe na wasiwasi kwa kitendo cha dr. slaa kuiacha CHADEMA,kwani hata alipo amua kuacha kazi yake ya upadiri,hakuna siku kanisa la katoliki wameshindwa kuendesha misa kanisani,amesema CHADEMA ni zaidi ya dr.slaa na itaendelea kuwapo,pia amewataka wana tarime kuwapigia kura Rais,wabunge Na Madiwani wa chadema.Leo ndo mgombea ubunge jimbo la tarime mjini amezindua kampeni zake mjini Tarime,miongoni Mwa Watu Walihudhuria ni pamoja na mhe. Ester Bulaya,Vicent Nyerere,na Makamanda Mbalimbali Wa Chadema Mkoa.
 
Alivyoondoka kwenye upadre hakufukuzwa.
ndio maana Mkapa kawabatiza jina la Malofa.
 
Hata General Wenje kasema "slaa alipoacha upadri misa haziendelei Catholic? "
 
Kama mbunge wa Chadema ndo kasema hivyo basi hii inazid kudhihirisha kwamba Ukawa hamna viongozi bali wahuni tu... Kwahiyo anafananisha kanisa katoliki na chadema?
 
Umeelewa yale maelezo lakini?

Ndio nimeyaelewa vizur sana..... Kanisa ni kanisa ila chadema ni kikundi cha wahuni wanaotiana moyo kwamba wataingia ikulu huku wakijua pasi na Shaka ni ndoto.... Kanisa ni taasisi inayojitegemea na linaendeshwa na waumini wake lakini chadema sio taasisi bali ni Mali ya Lowasa kwa sasa... So tifautisha mtu akijiondoa kanisani na yule wa kwenye chama..... Ahsante kwa kunielewa.
 
Back
Top Bottom