Dr. Slaa si mwisho wa misa kwa Wakatoliki

Dr. Slaa si mwisho wa misa kwa Wakatoliki

Padree Slaa kinachomsimbua ni Urais tu hana lolote huyu mzee ni mbinafsi sana mbona mbowe aligonbania Urais akashindwa akamwachia yeye....sasa yeye tabu yote ya nini anatuletea akahubiri injili huko tumeshampuuza na Lowasa ndiye chaguo letu
 
Kwenye Upadri alikimbia mwenye baada ya kunogewa na mapenzi ya Rose Kamili, Chadema nako amekimbia mwenyewe baada ya kunogewa na mapenzi ya pesa za ccm. Hivyo Dr no bingwa wa kususa
 
Back
Top Bottom