Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

Huyu naye akili zake hahahahahaaaa aanze kula mihogo kwake na familia yake ndio aje ikulu bwana watu wengine sijui wapoje
 
mnakizungumzia nini ni kibabu kizee Dr. kimeshajichokea.
 
Hamy D, mbona sijaona mpangilio mzuri wa kile unachotaka kukiwakilisha, kwa maana hiyo basi wataka kuniambia wewe unaunga mkono matumizi makubwa ya Viongozi wa Serikari?
 
Mbona tushazizoea hizo "SIZITAKI MBICHI" zake toka zama za kaleeeee...kwani kwa afya yake na umri ule hakika sio kazi ya mihogo tu, balia mahanjumati na mazaga zaga matamu matamu kama sosage, mdudu, nyama choma, 1 for the lord na mengineyo.
 
Mbona juzi kati alipokuwa ughaibuni (GERMANY) lienda na mihogo yake ili kupunguza gharama.
 
mimi nafikiri padri kwake ni kanisani ikulu tena kuna nini?
 
Huyu ndiyo yahaya mwenyewe aliyeimbwa na lady Jdee...mbwembwe nyingi ila hakuna kitu umeng'ang'ana na dr.slaa kila siku..
 
Umeandika maneno mazito tena ya ujenzi, umeelezea vizuri usanii wa Dr Slaa.

Na usanii wa babayo jk hu uoni,kitendo cha yeye kuweka gas yetu rehan kwa wachina ili usinyongwe kule chna sio usanii huo,subrn dawa yenu iko jikon.
 
hamkumuelewa huyu kikongwe wa watu,,, saa nyingine tuwe tunamsamehe jamani. uzee jumlisha na LIMBWATA la kihaya limempumbaza babu wa watu kwa hiyo mabo mengine anaropoka bila kujua anamaanisha nini..
aliposema akiingia ikulu'' ALIKUWA ANA MAANA AKISHAFANIKIWA KUPORA MKE WA MTU'' atakuwa yu tayari hata kula mihogo kubana matumizi ili amridhishe JOSEPHINE..... chezea limbwata wewwe!!!!
 
Kwanini asiachie 7.2 M anazolamba sasa hivi za wavuja jasho anasubiri ikulu? Ikulu ya wapi anayoota huyu babu?

Kinana "mlanguzi na jangili" wa tembo wetu....Katibu Mkuu wa Chama Cha Majanga - CCM analamba ngapi eti ukiachila mbali za biashara haramu ya meno ya tembo na madawa ya kulevya yaliyokamatwa South Africa juzi?
 
Kwanini asiachie 7.2 M anazolamba sasa hivi za wavuja jasho anasubiri ikulu? Ikulu ya wapi anayoota huyu babu?

Walau ameshasema hata hizo 7.2 m mbona waheshimiwa wanalamba 2m kila wajapo kufungua hata zahanati na hawataki ijulikani? Halafu mishahara mbona mshahara wa raisi wetu unaotokana na kodi za watanzania wote CCM hawataki ujulikane? Ukweli na uwazi wa Mkapa uko wapi hadi leo hii? Acheni siasa za maji taka.
 
Wewe lazima utalitafuta tatizo kwa Dr Slaa hakuna siku uliowahi kuzungumza zuri kuhusu huyu Rais mtarajiwa.Sasa sijui 2015 akichukua Nchi utahamia Nchi nyingine?Ila usiwe na shaka 2015 baada ya Dr Slaa kutwaa Ikulu nishtue tu kama utataka kuhamia Nchi nyingine ili nikuchangie pesa ya kununulia one-way ticket na usirudi tena.

Mkuu, ni rahisi kwa PAUL KAGAME kuwa Rais wa Afrika kuliko Dr SLAA kunusa harufu ya Ikulu
 
Huyu huyu aliyeenda israeli na mke wake kwa kuchota ruzuku ya chama au mwingine??
 
Walau ameshasema hata hizo 7.2 m mbona waheshimiwa wanalamba 2m kila wajapo kufungua hata zahanati na hawataki ijulikani? Halafu mishahara mbona mshahara wa raisi wetu unaotokana na kodi za watanzania wote CCM hawataki ujulikane? Ukweli na uwazi wa Mkapa uko wapi hadi leo hii? Acheni siasa za maji taka.

Mkuu, Dr slaa mwenyewe alilazimika kukiri mshahara huo kutokana na kashfa iliyokuwa inamwandama. lengo lake lilikuwa kujitetea kumbe alikuwa anajikaanga.Pia tamaa za babu zimetokana na kupora mke wa mtu ambaye ni mlafi. heri ya Rose Kamili alikuwa ahueni kuliko Josephine. kama babu ataingia ikulu, basi Josephine atakuwa ni zaidi ya mama Mugabe ambaye hata mchicha anaenda kununua London. si ameanza? cement ya kujengea hospitali yao waliyocheza dili ya GWAJIMA wameagiza JAPAN wakati hapa Bongo zimejaa
 
Kinana "mlanguzi na jangili" wa tembo wetu....Katibu Mkuu wa Chama Cha Majanga - CCM analamba ngapi eti ukiachila mbali za biashara haramu ya meno ya tembo na madawa ya kulevya yaliyokamatwa South Africa juzi?

analipwa mshahara wa shilingi 2.4M kwa mwezi
 
Back
Top Bottom