Dr. Slaa ni Jembe

Dr. Slaa ni Jembe

Mtasema saaana lakini Slaa ni jembe na kasi yake kama kangarooo ni tamu lakini chungu kumeza

Jamaa ana kasi ... no bureaucracy ... mkitaka fanya kitu e.g. ununuzi wa vitu vya chama (refer waraka wa ushind) mnasaini wenyewe easy very fast!!! (hakuna mambo ya vitengo vya ununuzi sijui nini ) very efficient.
 
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane

Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.

Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!

Dogo , hebu sikia , DR SLAA HAUZI SURA .
 
Last edited by a moderator:
Dogo , hebu sikia , DR SLAA HAUZI SURA .

Sawa baba nimekusikia. in fact Dr. ingebidi a-record hotuba zake alafu ziwe zina-b-played kwenye mikutano kwa Sababu Dr. Slaa jembe hauzi sura.
 
Kwani gongo inatofauti gani na viroba vinavyouzwa huko mitaani , konyagi na wine kali au kwa vile vinahifadhiwa kwenye chupa alichisema dr slaa ni kujenga kiwanda gongo iweze kuboreshwa na kuuzwa km vinywaji vingine acheni kuukakalia ukweli
 
Tukishika dola tutahalalisha gongo
attachment.php
 
Timu ya kriket ya S. Africa ipo hapa nchini unataka ubinadamu gani wewe kazi ziko palepale.
Hata ile timu ya wasichana under twenty ilikuwepo hapa na ikacheza nasi ikatubamiza wakati msiba ulikuwa bado mbichi tu!
 
Huyu mzee namkubali... anapiga mzigo tu... kwake ni as if Afrika haina msiba Zitto kabwe Ben Saanane

Keep it up mzee... ila kuwa na kau-binadamu hata kwa mbali kidogo.

Afrika watu wanapenda kuhuzunika na kufurahi pamoja... try just to be like us!

Mpe mchumbako au mkeo ndo utamjua kama ni jembe au siyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom