Wanaye mkuu wanaendelea na kampeni za kugawa noti,pombe na kununua shahada.
siku za chadema zinahesabika
wanachadema kura hizi ndo hatma yenu, jamani zilindeni kura zenu kwani naamini mmeshashinda zaidi mkilinda chaguo (kura) Zenu tuifikapo wakati wa kuandikisha wapiga kura watu wote waandikishwe na kwa wakati huu tuhakikishe hakuna forgery. Atakayejaribu kichwa chake kiwe halali ya chadema.
acha ushoga wewe gamba,auna washwa una itaji basha?acha u lodi lofa wewe, mkubwa mzima unalazimisha kutekenywa kutekenywa ili ucheke cheke...
Kazi yake ilikuwa kutembea kona moja ya stage na kurudi huku akisoma kitabu chake.Nilikuwa ninatamani huyu mzee prof Mlambiti kutumika kama mshauri kwa maendeleo ya nchi hii. Ninamkumbuka sana pale SUA lectures zake na vitabu vyake vya uchumi na ujasiliamali. Hongera CDM kwa kumtumia huyu mzee ni kichwa.
That's true mkuu! Hopefully he will be strong enough to run again when comes 2015.mzee wa rural economy..... wamemchakachua juzi ulanga...angekuwa mbunge huyu