Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Dr. Wilbrod Slaa, katibu mkuu wa Chadema amefanya mahojiano na ya Indianapolis ambayo ndiyo moja ya radio kubwa nchini marekani akisikilizwa na watu zaidi ya millioni 9 huku wengine wakishiriki kwenye mjadala kupitia mitandao ya jamii na simu moja kwa moja.
Kwa asilimia kubwa, wengi wamemkubali na kumuona kama mkombozi, siyo tu wa Tanzania, bali wa bara la Afrika kutokana na jinsi alivyojielezea na pia kuzungumzia mada mbalimbali hasa mikakati yake na chama chake Chadema kumuokoa mtanzania kutokana na ukoloni mamboleo ya CCM. Dr. Slaa amezungumzia kuhusu elimu, kilimo, afya, uwekezaji na fursa nchi zilizopo Tanzania.
Baadae mchana, Dr. Slaa atahojiwa na radio ya jijini Washington DC. Stay tuned
Dr. Slaa akiongozwa
Dr. Slaa akifurahia jambop ndani ya studio
Dr. Slaa akijadiliana na Minority leader wa bunge la Indiana