Leo saa saba kamili timu chadema itatua kinampanda hivi sasa shamramra zaendelea kuusubiri ugeni mzito bendera zapepea juu ya mzambarau tutakuwa tunawaletea habari kwani tuko ndani ya kinampanda
Leo saa saba kamili timu chadema itatua kinampanda hivi sasa shamramra zaendelea kuusubiri ugeni mzito bendera zapepea juu ya mzambarau tutakuwa tunawaletea habari kwani tuko ndani ya kinampanda
Gwikulu Nchemba haifahamu Jiografia ya Iramba. Nakumbuka tulipokuwa naye pale Ruruma, Kiombo hakujua tofauti ya Wahadzabe na Wambilikimo wa Kongo. Ila nilifuruhia jinsi alivyoigiza kucheza na Wahadzabe!
poa mkuu tupo pamoja,nafarijika kuona eneo nilikozaliwa linapitiwa na m4c japo siko home kwasasa ila tunawaombea mkutano mwema,mwanaume wa kazi ateme cheche zake.