chadema inaamini katika MFUMO WA SERIKALI TATU.Hakuna tija kwenda Zanzibar.Kutokana na harakati za kudai katiba mpya baada ya muda fupi tutakuwa na serikali tatu ndani ya nchi mbili.Ni wastage of resources kuhangaika na zanzibar wakati hakuna muda muundo wa muungano utabadilika
kuwa huwasikii wakiyaongelea haina maana kuwa hawayaongelei!
Yakhe tuna historia tofauti.Zanzibar mna dini moja na tamaduni moja hilo ni jambo zuri.Ila,kuna watwana(wamakonde,nyamwezi,shiraz)halafu kuna waarabu wa pemba(oman).CUF ni PEMBA PEOPLES PARTY ambayo haifuati sheria ya muingereza bali wanyamwezi ambao wana uhusiano wa damu sio wa kirafiki na watwana wa huko!CCM huko ni sawa na AFRO tu yakhe! imebidi mkubali tu kushindwa vibaraka wenu huku bara hawana la maana!Ukitaka kugundua kuwa wazanzibari ndio waelewa zaidi pima toka ulipoanza uchaguzi wa kwanza mwaka 1995 utagundua kwamba wazanibari ni watu wenye uelwa mkubwa sana na hata hawajalala kama munavyodhania angalieni mapinduzi ya kisisa yalivyotokea zanzibar halafu pimeni na bara hasa bara sio pwani maana hata pwani watu wengi walishaanza kuvichagua vyama vya upinzani kama znz hii inaonesha wazanzibari ni kiio cha watanganyika kuyaendea mapinduzi ya kisiasa na kiuchumi.
Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari nimegundua kwamba Dr Slaa pamoja na chama chake cha Chadema huwa siwasikii kuyaongelea sana masuala ya Zanziabar na hata hizo harakati zinazofanyika Tanganyika yaani upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano hazihusishi sana upende wa pili wa Muungano yaani Zanzibar je kwa mtazamo huo, Tunaweza kusema ya kwamba Chadema na uongozi wa Chadema hawana habari na Zanzibar. kwa nini Chadema wasipeleke nguvu zao Zanzibar maana naamini Zanzibar kama upande wa pili wa muungano chadema haijulikani kama vile CCM na CUF.(nao pia wanahitaji kusikia sera zao, kwa nini wanawatenga wanzanzibari)
Naomba kuwasilisha.
CDM haihitaji Zanzibar kabisa.

Ukitaka kugundua kuwa wazanzibari ndio waelewa zaidi pima toka ulipoanza uchaguzi wa kwanza mwaka 1995 utagundua kwamba wazanibari ni watu wenye uelwa mkubwa sana na hata hawajalala kama munavyodhania angalieni mapinduzi ya kisisa yalivyotokea zanzibar halafu pimeni na bara hasa bara sio pwani maana hata pwani watu wengi walishaanza kuvichagua vyama vya upinzani kama znz hii inaonesha wazanzibari ni kiio cha watanganyika kuyaendea mapinduzi ya kisiasa na kiuchumi.
Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari nimegundua kwamba Dr Slaa pamoja na chama chake cha Chadema huwa siwasikii kuyaongelea sana masuala ya Zanziabar na hata hizo harakati zinazofanyika Tanganyika yaani upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano hazihusishi sana upende wa pili wa Muungano yaani Zanzibar je kwa mtazamo huo, Tunaweza kusema ya kwamba Chadema na uongozi wa Chadema hawana habari na Zanzibar. kwa nini Chadema wasipeleke nguvu zao Zanzibar maana naamini Zanzibar kama upande wa pili wa muungano chadema haijulikani kama vile CCM na CUF.(nao pia wanahitaji kusikia sera zao, kwa nini wanawatenga wanzanzibari)
Naomba kuwasilisha.
Si rahisi kwa Chadema kufikiria kufanya kampeni au kuelekeza nguvu Zanzibar. Hiyo inatokana na mfumo wao walijiwekea na malengo yao yapo tofauti kabisa na Zanzibar.
Mfumo wao mkuu ni ukanda, Ukabila na Udini kitu ambacho kinawawia vigumu sana kufikiria Zanzibar.
Wao!!!!!
Duh......................:A S 13:
Kwani huko Church ndiko unakofunzwa ushoga? Naona maneno yako kama yanaelekea huko!