Ili kujenga ushindani wa kimkakati nchini vi vizuri Prof Lipumba na Dr Slaa wahamie ACT
Pia wale wabunge walioanguka NCCR wajiunge na ACT
Ili kujenga ushindani wa kimkakati nchini vi vizuri Prof Lipumba na Dr Slaa wahamie ACT
Pia wale wabunge walioanguka NCCR wajiunge na ACT
ACT wazalendo ni tumaini la watanzania kwa siku zijazo.
mpaka sasa wana % ya kura chama letu Act?
0.57% tunaweza iongeza kidogo
Acheni upumbavu!!! Hakuna upinzani.. ACT kufanyaje??? Mnafurahia kuishia kuwa wabunge???
hamjaanza leo kumuombea mabaya Zitto. lakini ndo hivyo, Zitto is there to stay.If wishes were horse everyone could ride, CCM walio wengi wanatamani Chadema ife ACT ipae.Lakini siyo kwamba wana mapenzi na ACT ila inaitwa "divide and rule tactic".Lakini kwakuwa Mungu ni mwema siku zote bado mtaumbuka tu! wapi Mrema na Cheyo? Zitto will follow
Lipumba ni zuzu na hana mvuto. Bora kidogo Dr Slaa.Ili kujenga ushindani wa kimkakati nchini vi vizuri Prof Lipumba na Dr Slaa wahamie ACT
Pia wale wabunge walioanguka NCCR wajiunge na ACT