Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
Sisi tunasimama wenyewe.
what if wakija na wakapokelewa??
Sisi tunasimama wenyewe.
naam atarudi tu.Atarudi kukishabikia siunajua wasaliti wengi adui yao ni upinzani kwa hiyo atarudi kukisifia
Haitakuwa ajabu, maana hata nyie mliyapokea makapi ya CCM.....na mkayapa nafasi ya kugombea hata urais.what if wakija na wakapokelewa??
Haitakuwa ajabu, maana hata nyie mliyapokea makapi ya CCM.....na mkayapa nafasi ya kugombea hata urais.
Kunya anye kuku akinya bata kahara.
Mbona huongelei majimbo yaliyokuwa ccm safari hii yamekwenda ukawa ambayo ni mengi zaidi kuliko hayo 11 ambayo ukawa waliopotea?huyo Mungu wako mwema mbona hajawapa urais?
si ndio mlikuwa mnasema mnaanza na Mungu na mnamaliza na Mungu?
btw yale majimbo 11 ya ukawa mbona yamerudi CCM?? kwa nn?
Wakati Chama Cha CUF Kinatuhumiwa Kuwa Na Element Za Kidini Hivi Mwenyekiti Wa Chama Alikuwa Nani?.
Pia CHADEMA Wakati Mnakiita Chama Cha Ukanda Hivi Katibu Mkuu Alikuwa Nani?.