Dr. Slaa na Prof. Lipumba nashauri wahamie ACT-Wazalendo

Dr. Slaa na Prof. Lipumba nashauri wahamie ACT-Wazalendo

Hapo tutakua tayari kuikabidhi nchi kwa wapinzani maana itakua ni serikali yenye tija na manufaa kwa wananchi. Ubarikiwe mtoa mada
 
Hiyo ni sawa na kusema taifa stars ikimsajili Pele na Maradona itaifunga FC Barcellona au Real Madrid.Hawa watu habari zao zimeshakwisha baada ya kuamua kwa makusudi kuubeba USALITI.
Nan kakwambia zimeisha?
 
Hapo tutakua tayari kuikabidhi nchi kwa wapinzani maana itakua ni serikali yenye tija na manufaa kwa wananchi. Ubarikiwe mtoa mada
Wamesikia. Wachukueni. Washawishini. Wabembelezeni. Walazimisheni. Warogeni.

Do whatever you want with them and use them.

It will not change anything significantly.
 
Hiyo ni sawa na mhalifu aliehukumiwa jela kwa kesi ya kubaka na kutumikia kifungo halafu siku aliyotoka jela unampokea na kumlaza chumba kimoja na mwanao.Zitto usikubali ujinga huu chama chenu kitabeba jina baya sana kuliko TLP ya Mrema.
 
Usaliti Na unafiki ndio kitu pekee duniani kinachoshusha heshima ya MTU ata awe Askofu,Mufti, profesa,Dr, ila ukishakuwa msaliti Na mnafiki ujue heshima yako imekwisha mbele ya jamii ata waende wapi hawawezi kuwa Na nguvu tena jua watanzania ni wale wale ila wao imani yao imebadilishwa Na usaliti Na unafiki kwa hiyo hawawezi kuaminika tena
 
Kama Slaa na Lipumba wataungana na Zitto badala ya chama kuitwa ACT- WAZALENDO kitaitwa ACT- WASALITI.
 
Ni ushauri tu kwa hawa "nguli wa siasa" nchini wakaungana na kina Zitto Kabwe kule ACT-Wazalendo angalau tukawa na chama cha kisiasa cha upinzani chenye nguvu kisicho na element za:

=Ukabila
=Ukanda
=Ukosefu wa Demokrasia
=Udini
=Ulaghai.
=Ufisadi

Lipumba awe Mwenyekiti.
Dr. Slaa awe Katibu.

Nawasilisha.
Hahahaha vichekesho kwa kweli. ..comedy la nguvu
 
Halafu Josephine Mushumbuzi awe msemaji wa ACT
 
Ni ushauri tu kwa hawa "nguli wa siasa" nchini wakaungana na kina Zitto Kabwe kule ACT-Wazalendo angalau tukawa na chama cha kisiasa cha upinzani chenye nguvu kisicho na element za:

=Ukabila
=Ukanda
=Ukosefu wa Demokrasia
=Udini
=Ulaghai.
=Ufisadi

Lipumba awe Mwenyekiti.
Dr. Slaa awe Katibu.

Nawasilisha.
Kwa Tanzania kusema utapata upinzani wa kweri ukishaondoa chadema itakuwa ni sawa tembo kuukwea mti,
 
Kama Slaa na Lipumba wataungana na Zitto badala ya chama kuitwa ACT- WAZALENDO kitaitwa ACT- WASALITI.
Kiitwe Mara ngapi tayari ni wasaliti najua wataongezeka sakaya Na maftaha watakuwa Na wabunge wasaliti watatu
 
Ni ushauri tu kwa hawa "nguli wa siasa" nchini wakaungana na kina Zitto Kabwe kule ACT-Wazalendo angalau tukawa na chama cha kisiasa cha upinzani chenye nguvu kisicho na element za:

=Ukabila
=Ukanda
=Ukosefu wa Demokrasia
=Udini
=Ulaghai.
=Ufisadi

Lipumba awe Mwenyekiti.
Dr. Slaa awe Katibu.

Nawasilisha.
Demokrasia imepata maana mpya?
 
Bila hata ya Lipumba au Dr Slaa, ACT wazalendo kitakuja kuwa chama kikubwa sana cha upinzani.

Safari ni hatua
 
Back
Top Bottom