Dr. Slaa na Prof. Lipumba nashauri wahamie ACT-Wazalendo

Dr. Slaa na Prof. Lipumba nashauri wahamie ACT-Wazalendo

Tuna mambo mawili mpaka sasa
Moja, ni kuendesha chadema asilia ambayo itakuwa chni ya Dr Slaa na
Pili, kuhamia ACT Wazalendo na kuimarisha chama kisawasawa.
Baada ya hapo sasa ndio litatokea anguko kuu la chadema na ukawa mafisadi

Utasubiri sana.!
 
If wishes were horse everyone could ride, CCM walio wengi wanatamani Chadema ife ACT ipae.Lakini siyo kwamba wana mapenzi na ACT ila inaitwa "divide and rule tactic".

Lakini kwakuwa Mungu ni mwema siku zote bado mtaumbuka tu! wapi Mrema na Cheyo? Zitto will follow

Wapuuz hao!! ACT ikitaka kuendelea iache kumkambatia Zitto...ni mnafik na anapenda maendeleo yake BINAFSI!!! Kajipigia kampen yy tu waliomfuata ACT hajawasupport hata kdg co Mama Anna wala Chiku.........!!!!!! Nilimuona Mbagala tu!!! Cheo chake hakiendan na mambo aliyofanya!!!! ZITTO HAFAI ACT!!!! Kitila Mkumbo nae anaanza kupoteza mwelekeo, na yy yupo kiccm zaid ckuhzi!!!Mama anna yuko vzr co mnafiki,hana uswahili,mwelewa ila mpole sana hwez kumkemea zitto wala kitila....... yaan kitila hata kumsupport mama ANNA nae alishindwaaaa????? Mama Anna act haimfai itamuua tu kisiasa bora ahame!!! Slaa ana propaganda nying type ya January na Lipumba tabia yake ni KUNG'ATA NA KUPULIZA,,,MNAFIKI,,,,,hyo ACT kukua msahau labda zitto atoke!!!!!! NA SLAA AJENDA YAKE ILIKUFA ALIMPONADI MAGUFULI NA CCM,,,,,mnamsema lowassa ila ccm ina kiwanda cha mafisadi.......na wanawalea wenyew........
 
Ili kujenga ushindani wa kimkakati nchini vi vizuri Prof Lipumba na Dr Slaa wahamie ACT
Pia wale wabunge walioanguka NCCR wajiunge na ACT

Only short sighted people like you can think in that way! Hvi hiyo ACT Wazalendo wana nini cha ziada zaidi ya unafiki wa kiongozi mkuu? Kwa mtazamo wako unaona kwamba vyama vya upinzani vinashindwa katika chaguzi kwa sababu hawana watu competent? Hata kije chama gani hapa Tanzania kwa mfumo vya vyombo vyetu vya uchaguzi ni ngumu sana chama pinzani kushinda. NEC na ZEC ni tume za uchaguzi Tanzania na Zanzibar za CCM kupitia kwa mwenyekiti wa ccm ambaye ndiye rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Rais ndiye anayeteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, mkurugenzi mkuu wa tume ya uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi majimboni (ambao ni wakurugenzi wa halmashauri za wilaya na manispaa). Wateule wote hao wa rais ni makada wa CCM, sasa kwa nini ccm ishindwe katika uchaguzi, si utakuwa ni uzembe wao.

Bila kuwa na tume huru ya uchaguzi kama ilivyopendekezwa kwenye rasimu ya warioba upinzania nchini usahau kushinda uchaguzi wowote ule wa urais. NEC na ZEC ni vyomo vya CCM. Hali kadhalika msajili wa vyama vya siasa ni machinery ya CCM.

Bila matokeo ya urahisi kuhojiwa mahakama inapotokea sintofahamu wakati wa uchaguzi ushindi wa vyama vya upinzania utakuwa unaporwa kila siku na CCM kwa kutumia vyombo vyake vya NEC, ZEC na hata msajili wa vyama vya siasa!
 
Nina wasiwasi na LIPUMBA na mapenzi yake kwa CUF.
Rudi LIPUMBA CUF urais wa ZANZIBAR unakuhitaji wewe ushindanie 2020.
 
If wishes were horse everyone could ride, CCM walio wengi wanatamani Chadema ife ACT ipae.Lakini siyo kwamba wana mapenzi na ACT ila inaitwa "divide and rule tactic".

Lakini kwakuwa Mungu ni mwema siku zote bado mtaumbuka tu! wapi Mrema na Cheyo? Zitto will follow

huyo Mungu wako mwema mbona hajawapa urais?

si ndio mlikuwa mnasema mnaanza na Mungu na mnamaliza na Mungu?

btw yale majimbo 11 ya ukawa mbona yamerudi CCM?? kwa nn?
 
Zito Kabwe Ni Wa Kulaumiwa Kauwa Upinzani Kigoma Yaani Machali Kapoteza Jimbo Sababu Ya Kwenda Act


uchawi huo, acha ujinga!! lowassa kakosa thats all! kwani mlilenga kupata rais au mbunge??
 
huyo Mungu wako mwema mbona hajawapa urais?

si ndio mlikuwa mnasema mnaanza na Mungu na mnamaliza na Mungu?

btw yale majimbo 11 ya ukawa mbona yamerudi CCM?? kwa nn?

Mwenye Enzi Mungu HAKEJELIWI!!!!
 
Ili kujenga ushindani wa kimkakati nchini vi vizuri Prof Lipumba na Dr Slaa wahamie ACT
Pia wale wabunge walioanguka NCCR wajiunge na ACT
Hatutaki fujo. Tumeanza kwa amani na tutashinda kwa amani. Fujo za maandamano peleka upande wa pili
 
Wale vizanizabina wa UKAWA siwaono humu leo.Mmenywea kama mmetiwa barafu mazafanter! Haya pigeni kelele zenu tenaaa...Boda Boda wote sura mbayaa kama mavi ya bosi wenu mchunga nG'ombe mtarajiwa!
 
Wale vizanizabina wa UKAWA siwaono humu leo.Mmenywea kama mmetiwa barafu mazafanter! Haya pigeni kelele zenu tenaaa...Boda Boda wote sura mbayaa kama mavi ya bosi wenu mchunga nG'ombe mtarajiwa!

Mbona unyoongea ndo yanafanana na wanayotolewagwa na hao watu
 
ACT ...itakuwa kama TLP ..ya mrema isipo kuwa makin....ccm wabaya tumemuadhibu juz mrema hapa vunjo kwa kumpa kura buku 6 tu......kwa usaliti wake .....na hao ACT....itakuwa hivyo wasipo angalia.....
 
ACT ndo mbadala wa CDM kwa siku zijazo

Huyu Dr Slaa na Prof Lipumba wataangaika sana. Maana masikini sijui Dr aendewapi! Huyu jamaa ataipata kwani hapa siyo hela bali ni heshima. CDM wamepata xaidi ya wabunge 13 wAkuchaguliwa. Pamoja na viti maalum CDM itakuwa na jumla ya wabunge isiyo chini ya 60!
Ongezeko ni 50%. Haya Dr wenu aende huko Kigoma na mbaya zaidi huko Karatu anatawaliwa na CDM.
 
Waende tu, ila wajue kule kuna Kiongozi Mkuu, ukipingana naye tu basi unakwenda na maji!!
 
Ni ushauri tu kwa hawa "nguli wa siasa" nchini wakaungana na kina Zitto Kabwe kule ACT-Wazalendo angalau tukawa na chama cha kisiasa cha upinzani chenye nguvu kisicho na element za:

=Ukabila
=Ukanda
=Ukosefu wa Demokrasia
=Udini
=Ulaghai.
=Ufisadi

Lipumba awe Mwenyekiti.
Dr. Slaa awe Katibu.

Nawasilisha.
 
sawasawa ..naunga mkono hoja

Birds of same feathers must fly together

|Wasaliti|
 
Hiyo ni sawa na kusema taifa stars ikimsajili Pele na Maradona itaifunga FC Barcellona au Real Madrid.Hawa watu habari zao zimeshakwisha baada ya kuamua kwa makusudi kuubeba USALITI.
 
Back
Top Bottom