Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
Nilikuwa sijui kumbe mmiliki wa CCBRT ni Dr.Slaa.

Na hawa hapa ni kina nani.

 
Kwani Vituo vya Policcm viko mbali sana na hapo ulipo? Mshirikishe Mwigulu maana yeye anao ushahidi atakaouonyesha hata mbinguni.
 
Yapo mambo mengi ya kuzungumza. Haiingii akilini kuona utumbo kama huu unachukua muda wa watu kuuzunguza. Kwa nini yasiwekwe hadharani madudu ya viongozi wakuu wa nchi hii wanaowatumia vijana wao kama Ritz kufisadi nchi hii. Uanzisha thread ya watu wanaofika katika familia ya mtu nyumbani kwake badala ya kumzungumza manyang'au wanarusha ndege zao hadi kwenye mbuga zetu na kufanya madudu huko? Ritz, umelogwa? Huna kipande cha mshipa wa soni? Sipendelei watu wavivu wa kufikiri kama wewe. Ni vema mtu kama wewe ambaye kila Mtanzania anajua unayoyafanya kuzungumzia habari za wengine. Dr Slaa ni fisadi kama hao walio katika kundi ambalo umo? Stay aloof.
 
Pamoja na kuwa ulichoandika ni matope matupu lakini afadhali Slaa aliyeteuliwa kusimamia uanzishwaji wa Hospitali inayosaidia maelfu ya Watanzania kuliko Kinana aliyeteuliwa ili aendelee kuua na kuuza wanyama hai ughaibuni.
Sijawahi kumtetea kinana(ingawaje tuhuna zakw ni upuuzi wenu wa kisiasa) wala fisadi yeyote aliyethibitika kufanta ufisadi.
Lakini hilo halininyimi haki ya kumuongelea Slaa kama mwizi mwingine yeyote.
Poleni nyie mnaemuabudu huyu msaliti KIAPO.
Kashindwa kulinda kiapo chake kwa mungu kisa uzinzi na ufisadi nawashangaa ninyi mnaemuamini
 
Hivi Rirtz kumbe unatuwekea hisia hapa mimo nilidhani amekwepa kodi kumbe unadhani atakwepa haya bana, kama serikali ya CCM ina uchungu na ukusanyaji kodi imkamate boss wa maduka ya nguo aliyemwagiwa tindikali maana amefanya ukwepaji mkubwa wa kodi na JK anajua na rirtz unajua sasa kwa nini unahangaika na hisia badala ya kukamata mafisadi ambao ni wafadhili wa CCM?
 
 
Ritz, hukuona umbea mwingine zaidi ya huu? Ni aibu kuja na tuhuma ambazo hazina ushahidi. Inasikitisha kuona hata presentation haina mashiko
 
CCM na wafuasi wake ni uzushi kwenda mbele!!!!!!
 
Kamanda hebu acha kupotosha CCBRT siyo taasisi ya Dr.Slaa.

Kwenye vikao vyenu vyama Chadema ndivyo anavyowadanganya.

Muulize tena vizuri.

km vile vile hujui tofauti ya uasisi na umiliki...Nyerere aliasisi taifa ila hakumiliki taifa, mapadri kibao wanasisi shule,vituo vya afya,vya vilema etc bila kuvimiliki...............

hata wauza unga wapo walioasisis hiyo bishara hapa nchini ila hawaimiliki, kuna walioanzisha ufisadi ila hawaumiliki.....wewe pia unaweza kuwa muasisi wa kuzima ubongo na sitoshangaa ukijitangazia kua dili za kuzima ubongo na kufanya mambo bila akili ni lako.
 
Hakuna jipya hapa.Ni yaleyale ya zamani, ccm wanatafuta pa kutokea, hii ni baada ya CD ya ugaidi imebuma....Peeeeeeeeoplessssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu mtoto anadhani hatujui namna anavyosambaza madawa ya kulevya yaani unga,huwa wanafika eneo fulani katika club moja maarufu na magari yao,katika eneo hilo kuna car wash yaani sehemu ya kuoshea magari,wakishafika eneo hilo hujifanya kanakwamba wanaleta magari yao ili yaoshwe ndipo kete hutolewa katika gari mojawpo ambalo ni la ritz ushahidi wa picha upo kama anabisha tutamwaga hadharani,lakini ajue anaua vijana wenzake na raia wenzake kupitia kivuli cha babayake,aache kuzungumzia mambo ya watu wenye nia nzuri na watanzania kwani hospitali ni muhimu kuliko kuuzia vijana sembe.
 
Umekuja kulia hapa Slaa halipi kodi wkt wewe ndiwe una serikali tukuelewaje jibu lake serikali dhaifu inashindwa kukusanya kodi mmeishia kuuza madawa ya kulevya.

Inavyo onyesha leo bwana Ritz ame (O.D)over doze na sembe ya Brazil ndio maana anaongea uharo kama huu mbele ya jamii. Ila ni jambo la kawaida kabisa kwa teja kulipuka na kuanza kuzungumza ovyo......!
 
Ritz Hasira za Mwakyembe umamalizia Dr.W.Slaa bwai!

Ulichokiandika najuta kukisoma puumbavu zako
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijui kumbe mmiliki wa CCBRT ni Dr.Slaa.

Na hawa hapa ni kina nani.
Mkuu mbona umwaweka mapatner? Hata Mfuko wa Billi gates and Melinda Gates Una mapatner wengi sana huwezi amini
 

tupia tuzione unakaa nazo unamwogopa au
 
Ritz;- Kweli kijana sasa umeanza kuumbuka nenda kaishi tuu hata ugaibuni basi kwa maana hapa hapakufai tena....! Hivi kweli mzee ndio kalea ------- kama wewe, basi bora hata ya miraji kuliko wewe laanakum usiye na hurma na taifa la leo hususani vijana wenzio. Hivi ni kwanini usifungue hata thread angalau ya kujaribu kujisafisha juu ya hili swala lako la madawa ya kulevya, kuliko kuingilia mambo yasiyo kuhusu...!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…