english couse ulipata ngapi?
Mkuu CHAMVIGA,Wewe ni kipofu kwani au kiziwi? Kila siku mnapomlalamikia Idd Azzan kuwa anauza madawa ya kulevya mshawahi kuuleta ushahidi au twatumia taarifa hizihizi za magazeti? Wacha kutafuta scapgot kwenye suala la viongozi kutumia nyumba za ibada kufanya maovu yao kama dr slaa anavyomtumia mchungaji Gwajima ili kupitisha vifaa vya ujenzi lengo akitaka kukwepa kodi.
hivi ndivyo tamthilia ilivyokuwa na macharacter wamecheza kama ifuatavyo;
japan. namna masharti na makubaliano yalivyokuwa
josephine; kama medietor
mchungaji;kama dalali
uzalendo; wa kulikosesha mapato taifa
Kamanda naona umepanic ghafla.Mkuu, ndo ushangae, mama'ko nimemsaidia sana darasani, achilia mbali kukuza wewe!! Now, you're trying to challenge your Dad in***!!
Rudi kwenye hoja, ni kweli hizo picha zinamuonyesha Dr akikimbia kodi!!? Ni ushahidi aliokuwa anajigamba nao mleta mada? Je, huoni umuhimu wa Mods kulitendea haki jukwaa hili!!
Wewe ni kipofu kwani au kiziwi? Kila siku mnapomlalamikia Idd Azzan kuwa anauza madawa ya kulevya mshawahi kuuleta ushahidi au twatumia taarifa hizihizi za magazeti? Wacha kutafuta scapgot kwenye suala la viongozi kutumia nyumba za ibada kufanya maovu yao kama dr slaa anavyomtumia mchungaji Gwajima ili kupitisha vifaa vya ujenzi lengo akitaka kukwepa kodi.
mkuu hakuna wanasiasa wezi kama wa ccm, jk,lowasa na wenzake kwa wizi ndo usiseme ...Mtakuja kuelewa tu baada ya kuibiwa saaana na hao akina Silaha na Dj Mbowe! Hawana uzalendo wala nini! Ni wajasiria mali tu! Zindukeni nyie misukule!
mkuu mungu yupi hapo? Je yesu au Allah? Kiujumla umehukumu mkuu, je wajua wewe siku ya mwisho utakuwa wapi? Wewe naona utakuwa pabaya zaidi...sitaki nikutabirie!Najiuliza sana endapo mungu atakuja kuwahukumu wazima na wafu na wale watenda dhambi slaa ataponea wapi,
Kama kutakuwepo na adhabu ya fimbo hakika slaa atachapwa fimbo na kwenda motoni pia,
Kwanza slaa kashindwa kumtii mungu kwa kushindwa kufanya kazi yake japo aliaapa kuifanya lakini baadaye kakiuka masharti na kufanya kinyume,
slaa anajua kwa mujibu wa sheria za mungu ni kinyume kuishi kinyumba na mwanamke asiye mkeo lakini slaa kampuuza tena mungu,
slaa anajua mungu hapendi uongo,ulaghai na hata kukwepa kodi lakini slaa anafanya hayo,
slaa kachangia kutokea kwa vurugu nyingi hapa nchini ikiwemo ya kuchinja eti nchi isitawalike yote haya mungu hapendi kwa nini slaa anafanya ambayo mungu hapendi kwa nini asikumbane ha rungu la mungu?
Cement na mabati yanapatikana hapa hapa nchini Tanzania. Ila vifaa vya hospitali (hospital equipment) havipatikani hapa Tanzania.
Hivyo lazima viagizwe nchi za nje.
Hapo ndio swala la kodi linapokuja kuonekana.
Angalia mfano wa hospital equipment..
mkuu mungu yupi hapo? Je yesu au Allah? Kiujumla umehukumu mkuu, je wajua wewe siku ya mwisho utakuwa wapi? Wewe naona utakuwa pabaya zaidi...sitaki nikutabirie!
Huu ni wivu wa kike kabisa.Hivi wewe mleta maada mbona unadhalilisha serikali yetu sikivu kiasi hiki.Wewe inaonekana hauko well informed.Huu mradi wa SLAA unaweza kweli kuulinganisha na kodi inayopotea kutokana na biashara ya billions of money ya madawa ya kulevya pamoja na pembe za ndovu?.Huyu raia mwema aliye amua kuisaidia jamii ya watanzania wanaopoteza maisha kila siku iendayo kwa maurana kutokana na ukusefu wa HOSPITALI BORA unamlalamikia bila aibu kweli?.Wewe kweli mw.hu kabisa!!!!!!!.
kwa hiyo haya unayo yaandika ni sawa na ushahidi ulioletwa humu dhidi ya AZAN? TUNAJUA HAKUNA ALIYE MALAIKA LAKINI MNASHINDWA KUTHIBITISHA KILE MSEMACHO NA NDIO MAANA KILA LEO MNAMSHINDWA DR SLAA.