Hivi kwa nini mnataka kuleta machafuko? Kwa nini Dr Slaa anasema atahakikisha nchi haitawaliki?
Kwa hiyo nyie watu wakaskazini ndiyo mnawakumbuka watu wa Mtwara?
Ardhi yao au ya watanzania wote?Kile kipande cha Mnazi Bay hakimilikiwi na wana Mnazi Bay, au wana Mtwara , au wana Kanda kusini bali inamilikiwa na watanzania wote kwa ujumla.Hata kama ni forum kuna utaratibu wa kufuata, huwezi kuleta michezo, mzaha au uchumi hapa, kuna majukwaa mengine humu.
Pili, hapa kuna mada kuhusu Mtwara na mada siyo mtu aliyetoa maoni yake. Swali la msingi ni kwa nini serikali imewatelekeza watu wa mtwara na kuwafichia mikataba ya uchimbaji wa gesi iliyoka ktk ardhi yao? Sasa hawajui watafaidikaje kwa kuwa mikataba ni siri ya jk na mawaziri wake. Je, hii ni sahihi?.
laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
My friend! Bado uko kwenye jinamizi la ukanda!laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
MUNGU HACHANGAMANI NA SHETANI!! Kinachotakiwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu ateketeze kizazi chote cha kifisadi ili kuinusuru Nchi!!
Unatapatapa mithili ya mtu anayekata roho!! Yaani huyo Kikwete anayeua waandishi wa habari na kungo'a watu kucha na meno bado unamuona yupo karibu na Mungu? Mungu yupi? Mbona kila mtu anajua analindwa na majeshi ya majini ya Sheikh Yahya!!!
Ardhi yao au ya watanzania wote?Kile kipande cha Mnazi Bay hakimilikiwi na wana Mnazi Bay, au wana Mtwara , au wana Kanda kusini bali inamilikiwa na watanzania wote kwa ujumla.
Anza kwa kujifunza agrarian laws za nchi yako.....
Siasa nyingi mno hutandaza fikra. .... your whole thought process is corrupted,.
Siyo mikataba yote ni lazima iwekwe wazi. Kibiashara baadhi ya makampuni hayataki kuweka mikataba yao public ....kuna mikataba ya kijeshi kati ya serikali (hao IMF na WB wanashupalia hili) na serikal au na mashirika binafsi, na haiwekwi public.Kwani wanamtwara siyo watanzania? Malalamiko ya wanamtwara ni ya watanzania wote. Na mikataba tunayotaka yawekwe hadharani kama nilivyosema siyo ya mtwara tu bali nchi nzima. Kwa hiyo, swali langu liko pale pale, kwa nini ccm hawataki kuonesha mikataba ya uchimbaji wa gesi kwa wanamtwara na watz wote wakati yanachimbwa katika ardhi yao/yetu (sisi watz +wanamtwara pamoja na wewe kobello)
My friend! Bado uko kwenye jinamizi la ukanda!
JK anazidi kuweka historia kwa kutumia nguvu kupitiliza, wakati akiwa waziri wa madini, watu ambao ni wachimbaji wadogo wadogo takilibani 36 walikufa, kwa kufukiwa kwenye mashimo yao, Bulyankulu ili kuwapisha Barrick, mpaka sasa hakuna hata barabara ya Lami kuelekea kwenye mgodi huo 70km, sasa huu ndi uwekezaji gani?DK.SLAA:Yanayotokea Mtwara ni matokeo ya umaskini ambao CCM imewaletea wananchi, Mtwarawanakumbuka ya Mwadui, Geita na North Mara.Wanayakataa. Wanapenda amani, wanaheshimu misingi ya Taifa letu lakini wanapinga gharama ya amani hiyo kuwa umaskini wa wengi na utajiri wa wachache.