kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
mwenzio Ritz na ZeMarcopolo wameamua kurudi CDM baada ya kuona buku 7 haina thamani ya maisha ya watanzania wewe bado unahangaika lumumba?
Unajipofusha na kuziba masikio kwa pamba ee??? Kuiba mke wa mtu na kuvunja ndoa, kuasi kanisa na kula pesa za ujio wa papa huku ukijiita padre kwako ni mazuri hayo??
Nyinyi watu mna akili ndogo sana! Watanzania wa leo hawahitaji Dr. Slaa kuona ujinga unaofanywa na Serikali. Wanaangalia wenyewe kwenye TBC na kujua nini cha kufanya na upuuzi unaofanywa na hawa viongozi waliopewa nafasi katika Serikali kwa kigezo cha ku balance dini badala ya uwezo wao wa kufikiri.
Waambie wana CCM wenzio haya: kwamba kuna eneo zaidi ya moja katika Taifa ambako watu wanafikiri kama wana Mtwara. Watu hawa hawatatumwa na DR. Slaa. Watajituma wenyewe, na polisi hawatatosha....
ndugu embu tumia akili uskurupuke tuu kma una hoja kaa kimya dr slaa akuhasi bali alijiuzulu kutokana na sheria za kanisa katholic
Kuna msemo kuwa flani anazeeka vibaya, hapa msemo huo unaweza kutumika ukaleta maana
laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
Watu wana protest mpaka wanakufa kudai haki zao wewe unasema hawajui haki zao, wapewe elimu.hapa kunahitajika elimu ya kuwafahamisha haki zao ni zipi na siyo mabomu.,alisema Dr Slaa.
Unataka Doctor mzima aanze kuzidumisha fikra sahihi (kwa maCCM) za mwenyekiti wakati facts zipo wazi kuwa mabavu hayatakiwi.
Top Down approach kwa maendeleo ya watanzania tena kwa manufaa ya viongozi wa CCM is coming to an end, na mtarudishwa kwenye mstari tu, mlijisahau sana nyie mkadhani hii nchi ni yenu na familia zenu.
Hamjishangai, kila siku mna mgogoro mara na CDM mara na waandishi wa habari, mara madaktari, mara wananchi; lazima mjitathmini haiwezekani makundi yote haya yakawa yanakosea tu na nyie ndio mpo right.
Nawewe niwakukamatwa mbona ulilipua watu kanisani kule arusha. Nawewe tunakutafuta.
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
Povu la nini we gamba? Iwapo unawashwa si uende mahakamani??? unamtaka nani akukamatie?
nani kakudanganya au alivyokuja chadema aliwadanya hivyo mwabieni aseme vizuri asiwatania, yani na wewe unapata nguvu ya kuja humu na kudanganya watu kuwa na aibu.
wewe siyo mzima uanadhani watu hawajui kuwa slaa ndiye mchochezi namba moja ngoja wakati wake unakuja atakutana na watoto wa kiume atajuta kuacha upadri.
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
Mmewapa kadi namba ngapi?
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
pitia kauli ya rais na taarifa ya wazir mkuu ndani ya bunge, cdm wameinjinia vurugu za mtwara